Maoni yako ,inawezekana ikawa ndivyo sivyo,baada ya wananchi kung'amua ya kwamba hakuna upinzani nchini kuna wachumia tumbo tu.
Ni Sacco's za familia flani zinazotumia kichaka cha siasa kujinufaisha.
Wameona bora warudi sehemu yenye uhakika wa kufanya siasa bila bugzha
Y
Yaani sijui huu ujasiri wa undumilakuwili huwa mnautoa wapi! Kwa Mbowe kung'ang'ania madaraka hadi siku atakapomfuata Muumba wake sawa. Lakini kwa Jiwe ambaye hata kipindi kimoja hajaisha mnatoa mapovu eti asipewe kipindi cha tatu. Wajinga kabisa!!!
Ndio maana hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuwapigia kura muingie mshike madaraka ya nchi. Awe Rungwe, Mbowe, Zitto, Maalim wote akili moja. Kwamba uwe dikteta kwenye chama, halafu kwenye serikali uwe mdemokrasia?
Cha kushangaza siasa zinatoka kwenye itikadi na kuwa manipulations of opposition’s leaders. If you want to live happily you better join us! Even though you leave your heart in opposition you just come and wear green. And chant our chorus.