The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
vpn works wellGT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule ni udhalilishaji wa karne ah aha haha
Yote haya ni kumkamata Lissu idara ya ujasusi wa Samia ni ya hovyo kuwahi kutokea sasa anadhalilika kama mtoto mdogo.
Sogeza kidogo hapa mkuu.GT.

Yes ndo napitia huko.l kuangalia akina Erick Omondivpn works well
Wako VIzuri technically hata hacking haikuwasumbuaGen Z hawataki masihara ukiropoka tu wameshuka na wewe
Nasikia kaipiga pin ila na yeye ana post sasa sijui anatumia nini na anataka ajibiwe vipiGT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule ni udhalilishaji wa karne ah aha haha
Yote haya ni kumkamata Lissu idara ya ujasusi wa Samia ni ya hovyo kuwahi kutokea sasa anadhalilika kama mtoto mdogo.
Na bado mpambano unaendelea. Mpaka kielewekeWako VIzuri technically hata hacking haikuwasumbua
Noma sana hawa watu hatuwawezi kwa kweli . Kuna picha za mikenge huko hadi aibuKule hali ya hewa imechafuka kila TL unayopita ni gumzo tu wajomba wametawala Gen Z ni spana tu mwanzo mwisho πππ½
Yusaidieni tusiojua kuitumiavpn works well