Jakamageta
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 491
- 953
Walivoambiwa kitanukishwa,wakabeza...walifikiri old formula ndo ingetumika...it is too late.GT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Naumia sana watu wanavyotekwa na kupoteaNi mshenzi acha adhalilishwe maana mama zetu hawawezi kuua wala kufuga magenge ya wanaume wahalifu kuua wenzao. Sio mama wa hii nchi hata kidogo ni muhalifu asiyestahili heshima hata kidogo.
Mimi kuna kipindi nilitahadharisha humu kuhusu shambulizi la ransomware katika taasisi zetu.Mi najiuliza Hawa jamaa hawawezi kuhack mifumo ya kibenk hapa Bongo
Kumbe hajali kitu😁Hukuwahi kusikia mazungumzo yake kuhusu maziwa ya wacheza mpira wa miguu wanawake?
Poor BrainUza hiyo simu utafute simujanja kijana.
Nimeshampa connection ya kava la simu na chaja
Wewe na wakenya hamna tofauti ni wale wale tuu 😂😂😂😂Ila hawa Kenya ni hatari sana namba ya Msambatavangu wameipata wapi?
Acha kunichoresha dogo 🤣Wewe na wakenya hamna tofauti ni wale wale tuu 😂😂😂😂
Asante sana mkuu aiseeeeNimeshampa connection ya kava la simu na chaja
Nipo SA huku hakuna kitu kama hicho nashangaa walivyozuia huko kwetu ila simu ina VPN hata nikiwa Tanzania naenda nao sawa tu.Tumia VPN mkuu
Wameshaweka connection Yake ni noomaNaomba wasimdhalilishe maumbile yake ni mtu mzima ila kwenye kudai haki naunga mkono
..ikulu kwa mara ya kwanza ina watu wa hovyo kuliko nyakati zote, hakukuwa na haja kabisa kufanya vile mamlaka walifanya..mambo ya kuonyesha mabavu yalishapitwa na wakati kitambo, tunaishi kwenye dunia ya kistaarabu hasa kwa individuals, km serikali inataka kuonyesha mabavu pimana mabavu na serikali si mtu au watu..serikali kwa serikali, huhitaji kufundishwa mambo haya, yako wazi kabisa..ni ujinga kujigamba kuumiza watu..inakusaidia nini hasa..? Sasa hayo ndio matokeo ya ku-invite kudharauliwa na kutukanwa.. na huwezi kuwafanya lolote, hao uliowaumiza hata tusi moja hawakutoa, sasa unakabiliana na matusi na huwezi kuwafanya lolote!Kufanya mambo au kuongea habari bila kutafakari matokeo hasi yanayoweza kukutokea ni hatari sana kwa mustakabali wa utu wako.
Ndio faraja yao iliyobaki. Wasamehe Bure tu.acheni kushabikia upuuzi
Waje kidai nvhi yao sasa maana wao ndio taifa la leo na kesho hawa vikwongwe wanaona bora kung'ang'ania ili wawaandalie matoto yao ulajiGT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Labda wameidukuaIla hawa Kenya ni hatari sana namba ya Msambatavangu wameipata wapi?