Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

Umejiunga mwezi huu kisha unatuma duplicate post za kiwango hiki, ukiamaliza mwaka si hii server ya jf itakuwa imejaa?
Kuna kitu leo kilikuwa hakiko sawa kwenye hii simu, nimeshalekebisha
 
Naomba wasimdhalilishe maumbile yake ni mtu mzima ila kwenye kudai haki naunga mkono
Siku anatoa amri yule dada wa Uganda abakwe alijisahau kuwa naye ni mwanamke? Wacha Gen Z wampige za uso hadi atie adabu na tena nilipenda moja wamemtengeneza anajikuna kama Zuchu, Ubaya Ubwela kudadekiπŸ”₯πŸ”₯
 
GT.

Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule

Yote haya ni kumkamata Lissu
Lissu ataendelea kukaa ndani na kesi yake itaendelea kusomwa kadri inavyotakiwa kusomwa hao watoto wadogo hawawezi kusumbua wasomi wenye kuelewa wanafanya nini duniani.
 
Siku anatoa amri yule dada wa Uganda abakwe alijisahau kuwa naye ni mwanamke? Wacha Gen Z wampige za uso hadi atie adabu na tena nilipenda moja wamemtengeneza anajikuna kama Zuchu, Ubaya Ubwela kudadekiπŸ”₯πŸ”₯
Aliyetoa amri ni mwanaume sio Rais SSH, amri ya kuwabaka na kuwalawiti ilitolewa pia na awamu ya JK na ya Mkapa pia.

Ukifanya usaliti mkubwa kiasi cha kutaka kuichafua amani ya nchi yenye watu milioni 64 jiandae kupokea kichapo kibaya ambacho hutakaa ukisahau mpaka siku ya kuaga dunia.
 
Yaani hapa kama nawaona vile wale machawa waliokua karibu nae wanajifanya wanaenda chooni wanachekaaa halafu wakirudi karibu nae wanajifanya wako serious na wanajifanya wanawakemea hao wakenya πŸ˜‚ πŸ˜‚ ila uchawa ni laana kubwa sana
 
Sidhani kama ni muhimu kufuatilia maudhui yanayotweza utu wa mtu hata kama kuna jambo linalotatiza utu.
Demokrasia inaanza kuwa tatizo mojawapo ya matatizo yaliyoletwa na ukoloni mamboleo Afrika.
Ifike mahala tuishi kama ndugu na kupendana kwa dhati kama taifa na Afrika kwa ujumla ili kuleta mabadiliko ya fikra yenye kuleta mandeleo ya uchumi na kuondokana utegemezi.
 
Unailaumu Demokrasia? Maana yake kwako wewe ni jambo sahihi watu kukamatwa, kutekwa, kuteswa na kuuawa au kupotezwa?
Halafu wewe huyohuyo unajifanya kuwa na uchungu watu kutwezwa umachokiita utu kuliko watu kuuawa, kuteswa na kuumizwa?
 
Kwahiyo utu wake ni bora zaidi kuliko uhai wa watu wanaouawa?

Muwe mnawashauri kwanza wao kuepuka kujifanya miungu watu badala ya kukemea matokeo huku chanzo/mzizi wa tatizo mmeukaushia kama hamuuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…