Analiwa huko Kenya huyooHuyo mbuzi mmemwokota wapi tena.
Eti anajitambulisha kuwa "Mzalendo,", kwa kitu gani; kumlamba miguu Samia?
Huyo anatafuta tu ulaji, si ajabu kishatupiwa mshiko toka kwa Bw. Abdul.
Hawa watu ni wapumbavu sana.
Hawa ndio askari wa miguu wa Samia Suluhu Hassan; wale wanaofanya kazi chafu, za kuteka, kubaka na kuua watu na kutoboa macho ya maiti.
sasa kama omondi naye anafanya hayo haoni kuwa anajifungia mlango kuja tanzania?Omondi jana katisha sana
we huoni udhalilishaji wanaoufanya? Acha kula kanzi kujikausha na kupotezea vitendo vyaoSasa sisi Genz wanatuhusu Nini,wahangaike na Kenya yao...tuache kuishi maisha yetu eti kisa Genz?
wajuba kuweni wazalendo wa nchi yetuNawaomba Wakenya wadukue account ya Samia, ya ikulu nk nk ikiwezekana na sevar
UVCCM wamemezwa ile mbaya......... Sisi wapenda haki acha tushuhudie jinsi wanavyovurugana
kama ruto aliomba msamaha mambo yakaisha naye aombe msamaha tu yaishe, gen z wanayofanya sio poaSio WhatsApp tuu....
Hao jamaa wameweza kupata number mbili private za mkuluuu....na kumtext..., wengine wakaenda hewani kabisa...
Wakaona haitoshi wakaruka na number za wasaidizi wake...wakatuma msg kama zoteee...ni hatari ..
Unafikiri Ruto kuomba msamaha imekuja hivi hivi ?
Mi najiuliza Hawa jamaa hawawezi kuhack mifumo ya kibenk hapa Bongo ?
Watakoma wapuuziMtakoma wabongo....
Humu ndani tumeongea sana kuhusu Kenya kutuzidi mambo mengi sana lakini kuna mpaka vilaza walianzisha ule uzi wa battle za kijinga kati ya Kenya na bongo kushupaza shingo
Tunaelewa vilivyo mpaka tukawapa wa kwetu jina la "IT wa bongo", hili lina maana pana sana....
Haya tunawapa challenge hawa IT wa bongo tuone kama hata wataweza kuhack akaunti ya admini wa grupu wasap la michango ya harusi.....
Malezi mabayakama ruto aliomba msamaha mambo yakaisha naye aombe msamaha tu yaishe, gen z wanayofanya sio poa
GT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
kwani wamemtwanga meseji huyo mbwatukaji?Ila hawa Kenya ni hatari sana namba ya Msambatavangu wameipata wapi?
wako mbali na ni wengi utaendaje kuwateka kule kwao?Wakatekwe
mjuba unajua siri ya kushabikia hayo lakini?acheni kushabikia upuuzi
usichochee moto weweLissu ataendelea kukaa ndani na kesi yake itaendelea kusomwa kadri inavyotakiwa kusomwa hao watoto wadogo hawawezi kusumbua wasomi wenye kuelewa wanafanya nini duniani.
una roho ya kishetaniAliyetoa amri ni mwanaume sio Rais SSH, amri ya kuwabaka na kuwalawiti ilitolewa pia na awamu ya JK na ya Mkapa pia.
Ukifanya usaliti mkubwa kiasi cha kutaka kuichafua amani ya nchi yenye watu milioni 64 jiandae kupokea kichapo kibaya ambacho hutakaa ukisahau mpaka siku ya kuaga dunia.
Nyati Mwenyewe Kwa Comodo Dragon Anatepeta Chap Jino Moja Anaanguka ChaliTeheeeeeeee eti comodo dragon wale kenge atari sana wanatema sumu sio poa