Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

Tuache kuuana, kutekana, kupotezana.
 
GT.

Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule

Yote haya ni kumkamata Lissu
Kuna mtu mwenye akili anahangaika na vijana waliokata tamaa ya maisha na walioharibika. Hao wapumbavu ni mizigo kwa mama zao, wabweke huko twitter ila hawawezi kukanyaga ardhi yetu huo upumbavu wao wabaki nao huko na mama zao waliowalea hovyo. Hizo ni takataka zilizooza. Ht we unayewafuatilia ni km wao tu, ndege wafananao huruka pamoja
 
Gen Z hawataki masihara ukiropoka tu wameshuka na wewe
Mbunge wao ametekwa na kukutwa hoi juzi tu wamefanya nini kule kwao? Hawathubutu tena kujitokeza Ruto mwenyewe hacheki nao ndio hawahangaike na mambo yetu? Pilipili wasisozila zawawashia nini, ni kwamba hawana kazi mtu mwenye kazi yake muda wa kufanya huo upumbavu autoe wapi
 
Hivi nchi hii hakuna mwenye busara na hekima tuwaombe msamaha kama tumewakosea gen z wa kenya? Wanayoyafanya sio poa tuwaombe msamaha yaishe
Tatizo sisi hatuna msamiati wa kuomba msamaha wala kukubali samahani. Ruto kaomba msamaha, umesikia majibu yeyote ya serikali?
 
Hivi nchi hii hakuna mwenye busara na hekima tuwaombe msamaha kama tumewakosea gen z wa kenya? Wanayoyafanya sio poa tuwaombe msamaha yaishe
Mbunge kishasema dotto magari anatosha kuwatukana, we tena unataka msamaha......mnatuchanganya raia 😁
 
GT.

Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule

Yote haya ni kumkamata Lissu
What is Gen Z? Walimshindwa Ruto ndio waiweze Tanzania? Those are just petty political vagabonds!
 
Ni aibu na fedheha wabunge wa Tanzania kujibizana na GenZ wa Kenya.
Mtu mzima amevuliwa badala ya kuchutana anamkimbiza mwizi uchi
 
Hivi nchi hii hakuna mwenye busara na hekima tuwaombe msamaha kama tumewakosea gen z wa kenya? Wanayoyafanya sio poa tuwaombe msamaha yaishe
Tayari Ustaadh Juma Namusoma kashaomba msamaha, tusubiri huruma ya Wakenya
 
sawa tuko nao bega kwa bega, na ww kuwa bega kwa bega na watekaji...kila mtu ale urefu wa kamba yake.
VIta dhidi ya wakoloni weusi Tz imepata sapoti kutoka genz!
 
Nimewapenda sana wakenya Kwa kutusaidia kusema maovu ya Tanzania Hadi nimetamani kwenda kuona Kenya ili nipate mtoto mzalendo kama wa wakenya
Atakutoa jasho na kukuua kwa presha! Usitamani jambo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…