Huko Twitter leo tumeacha kuzungumzia kesi ya Chairman Mbowe, mbona tunajisahau kwa masuala yasiyo na umuhimu kwetu?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary.

Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo.

My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
 
..mjadala wa MIKOPO vs TOZO ni muhimu na unatuhusu.

..kama CDM unataka kuongoza serikali au bunge basi ni lazima wanachama wake wawe na uelewa mpana wa masuala ya UCHUMI na MAENDELEO.
 
Hii sio sababu ya kumsahau chairman.
 
Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary.

Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo.

My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
Tatizo lenu ni kwamba mna mihemko zaidi ya mikakati
 
Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary.

Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo.

My take; Tushikamane na tuache uashabiki.

Pumbavu kabisa ww muhuni wa CCM unayejifanya mwanacdm, kama mijadala ni ya huko twitter, huku jf unakuja kumpa nani miongozo ya kiccm, kwani ungewaeleza huko huko hayo maagizo ya CCM, ungepata Covid?
 
..mjadala wa MIKOPO vs TOZO ni muhimu na unatuhusu.

..kama CDM unataka kuongoza serikali au bunge basi ni lazima wanachama wake wawe na uelewa mpana wa masuala ya UCHUMI na MAENDELEO.
Sioni Kama kuna jipya tozo ziko pale pale na mikopo inaendelea kukopwa na watu walewale waliopitisha tozo kuna jambo gani la kujifunza hapo
 
Pumbavu kabisa ww muhuni wa CCM unayejifanya mwanacdm, kama mijadala ni ya huko twitter, huku jf unakuja kumpa nani miongozo ya kiccm, kwani ungewaeleza huko huko hayo maagizo ya CCM, ungepata Covid?
Kamanda kuna kosa mimi kuhimiza umoja? Mimi sio mhuni wa CCM
 
Back
Top Bottom