akilinene
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 516
- 436
Maana yake ni kuwa Mbowe apambane na hali yake. Huo ndiyo ukweli. Mengine ni kudanganyana tu. Wewe fanya kosa lolote kwa jina la kutetea Chama upelekwe rumande utaona uhalisia wa mambo. Put your brain at work.Kwa hiyo kesi ikiahirishwa ndio tunamsahau?