Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hii sio sababu ya kumsahau chairman...mjadala wa MIKOPO vs TOZO ni muhimu na unatuhusu.
..kama CDM unataka kuongoza serikali au bunge basi ni lazima wanachama wake wawe na uelewa mpana wa masuala ya UCHUMI na MAENDELEO.
Hii sio sababu ya kumsahau chairman.
Kwa hiyo kesi ikiahirishwa ndio tunamsahau?Kesi ya Mwenyekiti si imeahirishwa hadi Januari 10, 2022 kuna kipi tena cha kujadili kwa sasa ?
Tutamkumbuka January 10 2022, kwani shida iko wapi unafikili mambo mengine hayatokei mpaka tuzinde na chairmanKwa hiyo kesi ikiahirishwa ndio tunamsahau?
Tatizo lenu ni kwamba mna mihemko zaidi ya mikakatiMwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary.
Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo.
My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
Wewe jamaa mbona unajulikana kuwa ni CCM.Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary.
Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo.
My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
Ulishawahi kumtembelea Ukonga? Au kumbukizi yako kwake ni ya nyuma ya keyboard?Kwa hiyo kesi ikiahirishwa ndio tunamsahau?
Hili ni tatizo la kudumuTatizo lenu ni kwamba mna mihemko zaidi ya mikakati
Acha ujuhaWewe jamaa mbona unajulikana kuwa ni CCM.
Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary.
Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo.
My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
Ni suphian huyu na Travolta zake, watu wa singida bure kabisa.Ulishawahi kumtembelea Ukonga? Au kumbukizi yako kwake ni ya nyuma ya keyboard?
Sioni Kama kuna jipya tozo ziko pale pale na mikopo inaendelea kukopwa na watu walewale waliopitisha tozo kuna jambo gani la kujifunza hapo..mjadala wa MIKOPO vs TOZO ni muhimu na unatuhusu.
..kama CDM unataka kuongoza serikali au bunge basi ni lazima wanachama wake wawe na uelewa mpana wa masuala ya UCHUMI na MAENDELEO.
Kamanda kuna kosa mimi kuhimiza umoja? Mimi sio mhuni wa CCMPumbavu kabisa ww muhuni wa CCM unayejifanya mwanacdm, kama mijadala ni ya huko twitter, huku jf unakuja kumpa nani miongozo ya kiccm, kwani ungewaeleza huko huko hayo maagizo ya CCM, ungepata Covid?
Mimi sio mtu wa type ya akina SuphianNi suphian huyu na Travolta zake, watu wa singida bure kabisa.