Huko Twitter leo tumeacha kuzungumzia kesi ya Chairman Mbowe, mbona tunajisahau kwa masuala yasiyo na umuhimu kwetu?


Mtu yuko mahabusu Na haji mahakaman; tunajadili nini?
 
..Mwenyekiti hajasahaulika.

..Mahabusu wengine wa kisiasa nao hawajasahaulika.

..Mashekhe wanaozaa magerezani hawajasahaulika.

..Waliopotezwa wasiojulikana walipo hawajasahauliwa.
Mwenyekiti hajasahaulika.

..Mahabusu wengine wa kisiasa nao hawajasahaulika.

..Mashekhe wanaozaa magerezani hawajasahaulika.

..Waliopotezwa wasiojulikana walipo hawajasahauliwa
Lakini maisha lazima yaendelee saa haisimami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…