Huko Zimbabwe kuna kijana amegundua gari lisilotumia umeme, mafuta au nishati yoyote kutoka nje. Inawezekana vipi?

Huyu Genius wa kuzaliwa, mwaka 2008 alifanya ugunduzi wake mwenyewe, kuweza kubadilisha mawimbi ya radio na kua umeme .

Ikumbukwe mawimbi ya redio sio energy , Kwa hiyo Ile First law of thermodynamics inayosema 'Energy can not be created nor destroyed' jamaa kaenda kinyume nayo.

Yeye kaamua kutumia mawimbi ya radio na kuyatengeneza kua Umeme.

Mwaka 2017 , akiwa Marekan na Mwenzake wakiendelea kuwathibitishia wanasayansi juu ya ugunduzi wake, jamaa walipewa Sumu, Mungu tu akamponya yeye, na rafikie Akafa, Jamaa anastuka anarudi Zimbambwe kwao.


Anaungana na Kampuni la Wachina, Sasa habari mbaya Kwa Makampuni yanayotengeneza Magari, Ndege Kwa aina zote, vyombo vya moto Kwa aina zake n.k wanaotegemea Mafuta, Gesi, Umeme wa kuchaji , Maxwell sasa kaja na Magari yasotumia umeme Wala gesi wala hauchaji yaan Gari lako nikama mwanadamu tu anayetumia Oxygen kuishi bila hata kuilipia !!.


Huyu Mzimbabwe , anaenda kua Mwanadamu wa kwanza, kua mvumbuzi wa Teknolojia hii mpya hapa Duniani , Hamna popote pale hapa Duniani Teknolojia kama hii!!.

Mwenyewe anaiita "Microsonic Energy"
 
Jamaa yupo vizuri sana
Kwa kujua Athari ya Teknolojia hii, majaribio Kadhaa ya kumuua yameshindwa !!.


Kaingia mikataba na Serikali wa Mabilion kuanza kusambaza Umeme majumbani !!.


Habari njema ni kua, Umeme wake, ni wa wakati wote, iwe kiangazi, iwe Mvua iwe baharin iwe wapi, Umeme wake ni wa hakika maana ya mawimbi ya radio yapo tu kiasili .


Jamaa anatumia Malighafi asoiangaikia
 
Source ipo siyo kwamba haipo sikiliza narrative yake
Namaanisha source ya energy kama energy , yaan kwenye first law of thermodynamics, ili uwe na Energy lazima kwanza uwe na Energy hivo uibadili kutoka Energy moja kua Nyingine.


Yeye anatumia Mawimbi ya Radio tu na kutengeneza Energy.... Hapa ndipo wazungu wamechanganyikiwa.
 
Kwetu tule

View:

Sisi%20tulmewekeza%20kwenye%20CCM%20na%20Mzanzibari%20mmoja%20ili%20ashinde%20urais%20kwa%20kugawa%20pilipili%20Elf%2017%20na%20baiskeli%20nchi%20nzima%20badala%20ya%20kuwekeza%20kwenye%20Uvumbuzi%20na%20vijana%20wenye%20ujuzi%20wa%20kuzaliwa%20kama%20tunavyoweza%20kwenye%20kushangilia%20mpira%20wa%20simba%20na%20Yanga.

Jamii%20zote%20duniani%20kuna%20watu%20wanazaliwa%20wakiwa%20na%20akili%20na%20uwezo%20wa%20ziada%20bila%20kujali%20rangi%20,dini%20au%20kabila%20.%20
Tatizo%20la%20dunia%20ni%20kuwadhibiti%20wale%20wenye%20akili%20ya%20ziada.%20Kama%20walivyotaka%20kumuua%20kwa%20kumlisha%20sumu%20ndivyo%20hata%20kwenye%20siasa%20wale%20wenye%20nia%20ya%20kuwaletea%20wananchi%20maendeleo%20wanapigwa%20vita%20sana%20na%20kuacha%20wababaishaji%20wanaojali%20maslahi%20yao%20binafsi%20ili%20wajinufaishe%20binafsi%20na%20genge%20la%20mafisadi%20ambao%20kwao%20binadamu%20sio%20muhimu%20isipokua%20linapokuja%20suala%20la%20kupata%20soko%20basi%20

Tanzania%20tuna%20kiwanda%20cha%20magari%20cha%20JWTZ%20lakini%20kinahujumiwa%20na%20watawala%20ili%20kisiinuke%20na%20kuzalisha%20na%20kujitegemea%20.%20Wetu%20wa%20anashindana%20kaaguza%20magari%20China%20,India%20,Japan%20na%20Ujerumani%20kila%20mwaka%20matrilioni%20ya%20pesa%20badala%20ya%20kuendeleza%20kiwanda%20cha%20jeshi%20.%20
Sasa%20teknolojia%20ya%20kiafrika%20itakua%20ni%20Kiama%20cha%20nchi%20za%20Kiarabu%20na%20Ulaya%20na%20Asia%20.%20Ndio%20maana%20wanakimbilia%20Afrika%20kununua%20ardhi%20kubwa%20kwa%20kushirikiana%20na%20wasaliti%20waliopandikizwa%20kwa%20pesa%20nyingi%20na%20kupitia%20mashirika%20ya%20dini%20kama%20ilivyokua%20wakati%20wa%20mkoloni%20.

Mageuzi%20wa%20kisasa%20ni%20mwanzo%20wa%20mageuzi%20wa%20kiuchumi%20,kijamii%20na%20hata%20kisayansi
 
Hapo tumeelewana unajua tena mimi ni mtaalam kiswahili, history na civics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…