Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Hakuna chombo cha usafiri kisichotumia NishatiChombo cha usafiri kisichotumia nishati ni baiskeli na parachute. Kama ni gari lisilotumia nishati yoyote basi ni la kusukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna chombo cha usafiri kisichotumia NishatiChombo cha usafiri kisichotumia nishati ni baiskeli na parachute. Kama ni gari lisilotumia nishati yoyote basi ni la kusukuma
UVCCM hao walijualo ni mapambio.UVCCM wanajiuliza Uzi huu unahisi nini:
Hatari sana MkuuAiseee....
Hongera kwake
Source ipo siyo kwamba haipo sikiliza narrative yakeTatizo sio kuuza Magari, tatizo ni Teknolojia yake ambayo haipatikan popote pale Duniani na Wazungu mpaka sasa wameshindwa kupata jibu inakuaje , inakuaje MTU atengeneze energy from unknown source??.
Kwa kujua Athari ya Teknolojia hii, majaribio Kadhaa ya kumuua yameshindwa !!.Jamaa yupo vizuri sana
Namaanisha source ya energy kama energy , yaan kwenye first law of thermodynamics, ili uwe na Energy lazima kwanza uwe na Energy hivo uibadili kutoka Energy moja kua Nyingine.Source ipo siyo kwamba haipo sikiliza narrative yake
Huyu Genius wa kuzaliwa, mwaka 2008 , alifanya ugunduzi wake mwenyewe, kuweza kubadilisha mawimbi ya radio na kua umeme .
Ikumbukwe mawimbi ya redio sio energy , Kwa hiyo Ile First law of thermodynamics inayosema 'Energy can not be created nor destroyed' jamaa kaenda kinyume nayo.
Yeye kaamua kutumia mawimbi ya radio na kuyatengeneza kua Umeme.
Mwaka 2017 , akiwa Marekan na Mwenzake wakiendelea kuwathibitishia wanasayansi juu ya ugunduzi wake, jamaa walipewa Sumu, Mungu tu akamponya yeye, na rafikie Akafa, Jamaa anastuka anarudi Zimbambwe kwao.
Anaungana na Kampuni la Wachina, Sasa habari mbaya Kwa Makampuni yanayotengeneza Magari, Ndege Kwa aina zote, vyombo vya moto Kwa aina zake n.k wanaotegemea Mafuta, Gesi, Umeme wa kuchaji , Maxwell sasa kaja na Magari yasotumia umeme Wala gesi wala hauchaji yaan Gari lako nikama mwanadamu tu anayetumia Oxygen kuishi bila hata kuilipia !!.
Huyu Mzimbabwe , anaenda kua Mwanadamu wa kwanza, kua mvumbuzi wa Teknolojia hii mpya hapa Duniani , Hamna popote pale hapa Duniani Teknolojia kama hii!!.
Mwenyewe anaiita "Microsonic Energy"
View: https://youtu.be/WhWQbksw1pY?si=zYGsHTCVP-
Hapo tumeelewana unajua tena mimi ni mtaalam kiswahili, history na civicsNamaanisha source ya energy kama energy , yaan kwenye first law of thermodynamics, ili uwe na Energy lazima kwanza uwe na Energy hivo uibadili kutoka Energy moja kua Nyingine.
Yeye anatumia Mawimbi ya Radio tu na kutengeneza Energy.... Hapa ndipo wazungu wamechanganyikiwa.
Hata wakimchukuwa sasa hivi ameshamaliza kazi yake na historia itaandikwa familia mpka vitukuu wake tayari ni mabilionareTumkabidhi tu kwa mungu ndo atamlinda,huku afrika kuna ulinzi gani,tumwombee na aendelee kufanya maajabu.