Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Kazaliwa 2008 ila 2017 alikuwa ameshanza kutengeneza ivyo vitu akiwa majuu. Maana ake alikua na 11 yrs old
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zingatia Koma katika hiyo sentence, Genius wa kuzaliwa, ...... Nikaruka mpaka Mwaka 2008 alipofanya ugunduzi .Kazaliwa 2008 ila 2017 alikuwa ameshanza kutengeneza ivyo vitu akiwa majuu. Maana ake alikua na 11 yrs old

Huyu Genius wa kuzaliwa, mwaka 2008 alifanya ugunduzi wake mwenyewe, kuweza kubadilisha mawimbi ya radio na kua umeme .
Ikumbukwe mawimbi ya redio sio energy , Kwa hiyo Ile First law of thermodynamics inayosema 'Energy can not be created nor destroyed' jamaa kaenda kinyume nayo.
Yeye kaamua kutumia mawimbi ya radio na kuyatengeneza kua Umeme.
Mwaka 2017 , akiwa Marekan na Mwenzake wakiendelea kuwathibitishia wanasayansi juu ya ugunduzi wake, jamaa walipewa Sumu, Mungu tu akamponya yeye, na rafikie Akafa, Jamaa anastuka anarudi Zimbambwe kwao.
Anaungana na Kampuni la Wachina, Sasa habari mbaya Kwa Makampuni yanayotengeneza Magari, Ndege Kwa aina zote, vyombo vya moto Kwa aina zake n.k wanaotegemea Mafuta, Gesi, Umeme wa kuchaji , Maxwell sasa kaja na Magari yasotumia umeme Wala gesi wala hauchaji yaan Gari lako nikama mwanadamu tu anayetumia Oxygen kuishi bila hata kuilipia !!.
Huyu Mzimbabwe , anaenda kua Mwanadamu wa kwanza, kua mvumbuzi wa Teknolojia hii mpya hapa Duniani , Hamna popote pale hapa Duniani Teknolojia kama hii!!.
Mwenyewe anaiita "Microsonic Energy"
View: https://youtu.be/WhWQbksw1pY?si=zYGsHTCVP-mdpNz2
Kuna yule Dogo alokuja na Mfumo wa kupiga kura Kwa mtandao.Nchi yangu inadharau sana wataalamu wake na kuamini kila kitu kizuri lazima kiletwe na ngozi nyeupe,vinginevyo hakifai
Mfano yule mzee wa kipare aliyeunda mtambo wake wa kuzalisha umeme usio wa maji,upepo,jua wala mafuta ,tanesco wamechangia kumpoteza kabisa huyu mpare wakati ambao angekua msaada mkubwa sana kwa taifa
Kweli kabisa Mzee hasikiki tenaNchi yangu inadharau sana wataalamu wake na kuamini kila kitu kizuri lazima kiletwe na ngozi nyeupe,vinginevyo hakifai
Mfano yule mzee wa kipare aliyeunda mtambo wake wa kuzalisha umeme usio wa maji,upepo,jua wala mafuta ,tanesco wamechangia kumpoteza kabisa huyu mpare wakati ambao angekua msaada mkubwa sana kwa taifa
Na bado hawajashangaa,burkina faso nae anaingia kwenye soko la magari ya umemeTatizo sio kuuza Magari, tatizo ni Teknolojia yake ambayo haipatikan popote pale Duniani na Wazungu mpaka sasa wameshindwa kupata jibu inakuaje , inakuaje MTU atengeneze energy from unknown source??.
Kichwa sana nacho kileKuna yule Dogo alokuja na Mfumo wa kupiga kura Kwa mtandao.
Sijui hata yuko wapi
Kabisa Mkuu, na jamaa alitemana na shule akiwa Kidato Cha pili tuKuna watu ni vichwa haswa.
Huyu Genius wa kuzaliwa, mwaka 2008 , alifanya ugunduzi wake mwenyewe, kuweza kubadilisha mawimbi ya radio na kua umeme .
Ikumbukwe mawimbi ya redio sio energy , Kwa hiyo Ile First law of thermodynamics inayosema 'Energy can not be created nor destroyed' jamaa kaenda kinyume nayo.
Yeye kaamua kutumia mawimbi ya radio na kuyatengeneza kua Umeme.
Mwaka 2017 , akiwa Marekan na Mwenzake wakiendelea kuwathibitishia wanasayansi juu ya ugunduzi wake, jamaa walipewa Sumu, Mungu tu akamponya yeye, na rafikie Akafa, Jamaa anastuka anarudi Zimbambwe kwao.
Anaungana na Kampuni la Wachina, Sasa habari mbaya Kwa Makampuni yanayotengeneza Magari, Ndege Kwa aina zote, vyombo vya moto Kwa aina zake n.k wanaotegemea Mafuta, Gesi, Umeme wa kuchaji , Maxwell sasa kaja na Magari yasotumia umeme Wala gesi wala hauchaji yaan Gari lako nikama mwanadamu tu anayetumia Oxygen kuishi bila hata kuilipia !!.
Huyu Mzimbabwe , anaenda kua Mwanadamu wa kwanza, kua mvumbuzi wa Teknolojia hii mpya hapa Duniani , Hamna popote pale hapa Duniani Teknolojia kama hii!!.
Mwenyewe anaiita "Microsonic Energy"
View: https://youtu.be/WhWQbksw1pY?si=zYGsHTCVP-mdpNz2
Tunao wengi sana wanaouju makubwa ila viongozi wetu hawawazingatii,Kweli kabisa Mzee hasikiki tena
Sasa asome yanini wakati shule ndio inapaswa ikasome kwake.Kabisa Mkuu, na jamaa alitemana na shule akiwa Kidato Cha pili tu