crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Huo ndio ukweliAkipewa uraia leo, kesho anahamia Kenya alafu anaanza kutusimanga kua tulikua tunamnyanyasa.
Msimuamini Benadi.
Ujinga tu. Uraia unatolewa redioni na mitandaoni? Tangu lini Rais wa Tanzania anatoa uraia? Watu wanaomlisha maneno ya kuongea wawe smart walau hizo story zinoge.
Vichaa wamehamia kwenye dampo lao la vichaa . Ngoja tuone nini kitatokea.Aliyemlisha hayo maneno ni Manara! Za ndani kabisa zinaeleza Manara ndiye chanzo cha Morrison kuzinguana na uongozi wa Mnyama na kutaka kuhamia Utopolo!
Mbona huyu alinyimwa??Katika mahujiano yake na global tv online mchezaji benard morison amemuomba rais samia ampe uraia wa tanzania kwani anajisikia amani na kuthaminiwa sana nchini.
pia amesema yupo tayari kuchezea timu ya taifa ya tanzania taifa stars.
Source:global tv online
Ya kweli haya?Marrison si alishapewa uraia na kaoa Mbongo?