Huku barabarani truck za Scania zimekuwa adimu sana, ni mchina tu kila mahali

Huku barabarani truck za Scania zimekuwa adimu sana, ni mchina tu kila mahali

Ukipiga hesabu za kibiashara kwa uhalisia wake vzr huwezi miliki fleets za Gari ya kichina .
Hii boom tunayoshuhidia ni sababu banks zina finance kirahisi na kufanya watu wengi kuwa attracted , na wengi wao hawana abcd za trucking bussines,
Mosi gari ya Kichina sio ya bei rahisi, , unaongelea dola 55000 horse tupu na hii ni very basic faw
pili haina maisha marefu, kupata km laki 3kwa gari ya Kichina ni majaaliwa ya Mola
Tatu sio comfortable na ni risk kwa afya ya dereva, kuendesha a fully loaded truck kwa km 500 sio rahisi na wengi wanaokaa wanaishia hospitali kutibu uti wa mgongo.
Ndo maana wengi wanaomiliki gari za Kichina inabidibwafanye katiba vijana wadogo ambao hawajui madhara ya kiafya
Ndio maana nimesema hapo juu Used truck za Mzungu bado zipo sana hawa wanaosema hawazioni sijajua wanapita njia zipi.

Wakati kila siku Daf,Scania,Man,Benz used zinaingia hapa bongo
 
Kununua mpya inacheza kwenye 185m, hesabu ya siku laki 5 mpaka 6
Laki tano hadi sita kwa siku, but with strings attached!!
Ikipasuka tairi moja hapo siku imepotea, dereva akipita vibaya akakutana na tanroad siku imepotea, haya mattiper yanabeba overloads, na mengi yanatembea kwa 'maelekezo' siku tanroad wakiweka mzani wa mkeka hayafanyi kazi.
Kwa sababu ya ku overload yanalipua sana matairi
Yani kurudisha mil185 ya mkopo wa hilo tipper ni almost impossible na hakuna Benki hawatakwambia hilo
 
Mwaka wa kwanza akiwa ana maintainance plan nzuri engine hatafanya service ndogo. Baada ya hapo ajishikilie gharama za kufanya service ya weichai cummins.

Endapo akiwa anashinda kwenye vumbi air cleaner inabidi awe anabadili mpya la sivyo gari itakata rings mapema.

Kwenye hesabu kuna siku atapita bila kazi gari itapaki kijiweni bila kutoka
 
Kwenye rigid trucks(vipisi na mende) bado uhitaji mkubwa ni Scania na wengine wanaenda kwa Mitsubishi Fuso na Isuzu Foward (tandem axle).

Wachache wananunua rigid truck za kichina, na zinafanywa kuwa pulling.
 
Topper ipi mennde au hizi za Kichina?
Kwa hizi za Kichina hesabu ni 500000 kwa maeneo niliyopo
Ila kama hujawai kufanya hii biashara usijaribu kufanya na pesa za benki, utalala na viatu.
Kwa nini mkuu?
 
Hii boom ya magari ya Kichina sasa, itakuja kuleta burst huko mbele ya safari.
Banks wao wanajali faida zao tu, watu wanpodefault kwenye mikopo anayenufaika ni banks pekee.
Hiiikopo. Ya magari imesababisha watu wengi kufanya biashara moja kwa kutumia tools aina moja, na kugombea soko moja. Matokeo yake biashara inakuwa ngumu kwa kila mmoja
Hakuna kitu kama hicho kama unafanya jambo unalolijua , tungekuwa na kiwanda chetu ingekuwa rahisi mchina ametake over europe, Amerika , Africa , Asia kwasababu yeye ghalama za uzalishaji ni ndogo yuko na human capital . Mfano kunakuta kuna bidhaa iko mkoa mbeya na mmoja anasafirisha bidhaa kuleta dar na mwingine anaweka plant mbeya anaanza manufacturing unadhani nan atapata faida zaidi na kuliteka soko
 
Topper ipi mennde au hizi za Kichina?
Kwa hizi za Kichina hesabu ni 500000 kwa maeneo niliyopo
Ila kama hujawai kufanya hii biashara usijaribu kufanya na pesa za benki, utalala na viatu.
NImekusoma reply zako, unaonekana upo vizuri kwenye hizi mambo. Nadhani kwenye kusafirisha mizigo Scania na wenzake wa ulaya ndio wanafaa. Ila kwenye usafirishaji wa abiria kina Yutong watawabananisha sana kampuni za ulaya.
 
 Hakuna kitu kama hicho kama unafanya jambo unalolijua , tungekuwa na kiwanda chetu ingekuwa rahisi mchina ametake over europe, Amerika , Africa , Asia kwasababu yeye ghalama za uzalishaji ni ndogo yuko na human capital . Mfano kunakuta kuna bidhaa iko mkoa mbeya na mmoja anasafirisha bidhaa kuleta dar na mwingine anaweka plant mbeya anaanza manufacturing unadhani nan atapata faida zaidi na kuliteka soko
Haya mambo ukiwa field utaelewa vizuri, aliyekwambia kuwa gari ya Kichina ni cheap ni nani huyo?
Horse na trailer ya Kichina si chini ya milioni 220 na hiyo ni very basic entry model. Na hii haiwezi kumaliza km. 300000 kabla haijaanza kukuletea mapicha picha. Mind you gari ya mchina huwa haitenhenezeki ka ikianza kusumbua engine
 
NImekusoma reply zako, unaonekana upo vizuri kwenye hizi mambo. Nadhani kwenye kusafirisha mizigo Scania na wenzake wa ulaya ndio wanafaa. Ila kwenye usafirishaji wa abiria kina Yutong watawabananisha sana kampuni za ulaya.
Bado european models ninnzuri hata kwenye mabasi na ni comfortable kuliko hizo yutong , kilichopo ni kuwa Scania Volvo daf etc kwenye body za mabasi yao hawaweki chassis zao kwenye body builders wa bei rahisi, kitu kinachopelekea basi za Europe kuwa gharama hadi mara tatu ya basi za Kichina. Ss kimahesabu ni vizuri kuwa na gari litakalotembea km nyingi, ila abiria hawataki basi ya zaidi ya miaka 2, ndo maana unaona kila mtu ananunua yutong
 
Haya mambo ukiwa field utaelewa vizuri, aliyekwambia kuwa gari ya Kichina ni cheap ni nani huyo?
Horse na trailer ya Kichina si chini ya milioni 220 na hiyo ni very basic entry model. Na hii haiwezi kumaliza km. 300000 kabla haijaanza kukuletea mapicha picha. Mind you gari ya mchina huwa haitenhenezeki ka ikianza kusumbua engine
Wakati Daf,Scania,Benz unachukua Mtumba wa UK,Ireland au Scotland engine ina mileage ya zaidi ya 1m km na huku ikija inafanya kazi muda mrefu. Trucknyingi za ulaya used zinakuja na zaidi ya 300,000 km
 
Scania zipo nyingi tuu tatizo ni nyie mmeamua kuziangalia sana gari za mchina
 
Ss kimahesabu ni vizuri kuwa na gari litakalotembea km nyingi, ila abiria hawataki basi ya zaidi ya miaka 2, ndo maana unaona kila mtu ananunua yutong
... You're right. Abiria wa bongo wana kaujinga fulani kuchagua namba za magari. Huwa wana katabia ka kuhama na herufi ya kati kwenye namba.

Mfano, as of today gari EAP na ENP ni mbingu na ardhi! Kama huna uwezo wa kuingiza fleet mpya sokoni kila mwaka kwa routes za kati ya miji mikubwa, achana na hiyo biashara!
 
Back
Top Bottom