Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi za Moi sio?
Yeah enzi hizo, yaani mzee alikua anashusha uDC wako na anamteua mwingine papo hapo, nyadhifa zilikua kwa waimba mapambio waliokua wanasifia jina lake kama mungu fulani hivi. Hehehe!! Enzi hizo bana, tumetoka mbali kwa kweli.
Sio kwa ubaya katiba mnayoisifu siJawah kuona kama imebadili chochote, sana sana rushwa ndio umeshamiriYeah enzi hizo, yaani mzee alikua anashusha uDC wako na anamteua mwingine papo hapo, nyadhifa zilikua kwa waimba mapambio waliokua wanasifia jina lake kama mungu fulani hivi. Hehehe!! Enzi hizo bana, tumetoka mbali kwa kweli.
Kumbe ndio maana pamoja na wizi na mauaji yanayotokea kwenu kila siku lakini hakuna mtu hata mmoja anayewajibishwa?.Yeah enzi hizo, yaani mzee alikua anashusha uDC wako na anamteua mwingine papo hapo, nyadhifa zilikua kwa waimba mapambio waliokua wanasifia jina lake kama mungu fulani hivi. Hehehe!! Enzi hizo bana, tumetoka mbali kwa kweli.
Bado tuko na mapungufu yetu lakini pamoja na hayo katiba mpya imeleta mabadiliko kubwa sana Kenya. Hilo wazi kabisaa!Sio kwa ubaya katiba mnayoisifu siJawah kuona kama imebadili chochote, sana sana rushwa ndio umeshamiri
Sio kwa ubaya katiba mnayoisifu siJawah kuona kama imebadili chochote, sana sana rushwa ndio umeshamiri
Mabadiliko yepi hayoBado tuko na mapungufu yetu lakini pamoja na hayo katiba mpya imeleta mabadiliko kubwa sana Kenya. Hilo wazi kabisaa!..
Uchumi kukua mara mbili yetu,hii ni mada kwenye mabano usiihusishe na katiba yenu,ya kukamata polisi wakichukua rushwa za 2bob[emoji16][emoji16].Sijui tungekua nyuma kiasi gasi kama tungeendelea na katiba ya zamani, yaani kwa katiba mpya ni kama tuliingia kwa turbo charge, nchi ilichana mbuga na ndio maana leo hii uchumi wetu unaelekea kuwa karibia mara mbili ya wa kwenu, kuna mengi mazuri yalisababishwa na hii katiba na namshukuru Mungu maana mimi umri wangu uliniwezesha kuona na kushuhudia hali ilivyokua wakati wa katiba ya hapo awali, hivyo nina uwezo wa kutofautisha na kutabainisha.
Hata hivyo sio kwamba tumefika, safari bado ni ndefu, kama binadamu tunayo mapungufu yetu ambayo hayawezi yakabadilishwa na katiba, na pia hata katiba yenyewe sio "perfect" 100% kuna maeneo yanahitaji ukarabati, lakini mazuri yake ni mengi sana.
Ndio maana mnazama kwa ufisadi, SGR ya diesel 10km per hour,yet you have 1,000 pages constitutionKuna kipindi katiba yetu ile ya zamani ilikua inaruhusu uwezo kama huu, kwamba unaweza ukamfuta mkuu wa taasisi fulani na kuteua mwingine papo hapo, hata hamna ulazima wa kujua jina la unayemteua, yaani hizi nchi mbili tuko tofauti sana.
Mengi sana itabidi niandike riwaya!Mabadiliko yepi hayo
Kuna kipindi katiba yetu ile ya zamani ilikua inaruhusu uwezo kama huu, kwamba unaweza ukamfuta mkuu wa taasisi fulani na kuteua mwingine papo hapo, hata hamna ulazima wa kujua jina la unayemteua, yaani hizi nchi mbili tuko tofauti sana.
Usiongee kitu ilhali wako wanaojua ruto na historia take binafsi na nyadhifa ya uongozi mliyompa wakenya. Huyo jamaa ni mwizi balaaa. Ati hustler, from corn farming to politics then to becoming a billionaire 😂😂😂😂. Na msidhani hatujui Kenyata kashindwa kumfuta, instead akaonyesha he's in a conflict with his deputy to an extent he used to show his grudge live HD even on cameras. Too shameful, ati when greeting delegates Uhuru skips ruto in a line avoiding his handshake.
He's too corrupt n we both know it. Ila he's still in office, sisi angekuwa ametumbuliwa already. Chaajabu he's going to vie for presidency next year. Juu Kenya is too corrupt, anything is possible. Kama Rao aliibiwa Kura na kibaki tukiona, mbona ruto ashindwe kuingia? Anything is possible, I hope for the best