Huku kutengua na kuteua kunanikumbusha mbali sana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna kipindi katiba yetu ile ya zamani ilikua inaruhusu uwezo kama huu, kwamba unaweza ukamfuta mkuu wa taasisi fulani na kuteua mwingine papo hapo, hata hamna ulazima wa kujua jina la unayemteua, yaani hizi nchi mbili tuko tofauti sana.

Wewe ni mKenya..huku kwetu unataka nini?..kwanza unajua mamlaka ya RAIS au umeongea tu? mnadhani uongozi wa juu ni sawa na umiliki wa duka?
 
Kenya ni failed state ndo mtu akifanya vibaya anachekewa tu, hachukuliwi hatua yoyote hata akila rushwa bado tu anadunda kwa ofisi, ukizingatia raisi wenu mwenyewe mwizi.

Huo ndo utofauti wetu
 
MK254,

Kabisa katiba yetu ni Mbovu sana inabidi wateuliwa wawe na kinga baada ya kuteuliwa!! Kama RC gambo alikuwa ashapanga mkakati wake wa kukagua miradi ya maji lakini alitumbuliwa siku 2 kabla ya kuanza ukaguzi wake.
 
Yeah enzi hizo, yaani mzee alikua anashusha uDC wako na anamteua mwingine papo hapo, nyadhifa zilikua kwa waimba mapambio waliokua wanasifia jina lake kama mungu fulani hivi. Hehehe!! Enzi hizo bana, tumetoka mbali kwa kweli.
Sio kwa ubaya katiba mnayoisifu siJawah kuona kama imebadili chochote, sana sana rushwa ndio umeshamiri
 
Kumbe ndio maana pamoja na wizi na mauaji yanayotokea kwenu kila siku lakini hakuna mtu hata mmoja anayewajibishwa?.

Hii ingetokea Tanzania, lazima kuna watu sasa hivi wameshapoteza kazi na wengine wapo mahabusu
Nchi ya Ajabu: Vifaa vya kupambana na COVID 19 vilivyotolewa na Jack Ma vyatoweka

Hiyo ndio inayoifanya Tanzania kusiwepo na Rushwa, wizi, police brutality, ujambazi na takataka zote ambazo zinawatesa wakenya, kila mtu yupo katika hali ya tahadhari sana. Kwenu huko mtu akichukuliwa hatua yoyote, kundi la wanasiasa toka kabila lake linamkingia kifua.
 
Sio kwa ubaya katiba mnayoisifu siJawah kuona kama imebadili chochote, sana sana rushwa ndio umeshamiri
Bado tuko na mapungufu yetu lakini pamoja na hayo katiba mpya imeleta mabadiliko kubwa sana Kenya. Hilo wazi kabisaa!
 
Sio kwa ubaya katiba mnayoisifu siJawah kuona kama imebadili chochote, sana sana rushwa ndio umeshamiri

Sijui tungekua nyuma kiasi gasi kama tungeendelea na katiba ya zamani, yaani kwa katiba mpya ni kama tuliingia kwa turbo charge, nchi ilichana mbuga na ndio maana leo hii uchumi wetu unaelekea kuwa karibia mara mbili ya wa kwenu, kuna mengi mazuri yalisababishwa na hii katiba na namshukuru Mungu maana mimi umri wangu uliniwezesha kuona na kushuhudia hali ilivyokua wakati wa katiba ya hapo awali, hivyo nina uwezo wa kutofautisha na kutabainisha.

Hata hivyo sio kwamba tumefika, safari bado ni ndefu, kama binadamu tunayo mapungufu yetu ambayo hayawezi yakabadilishwa na katiba, na pia hata katiba yenyewe sio "perfect" 100% kuna maeneo yanahitaji ukarabati, lakini mazuri yake ni mengi sana.
 
Uchumi kukua mara mbili yetu,hii ni mada kwenye mabano usiihusishe na katiba yenu,ya kukamata polisi wakichukua rushwa za 2bob[emoji16][emoji16].

Leo hii makamu wa rais anaandaa mikakati ya kuingia ikulu,akiwa madarakani na mkuu wake wa kazi.mnacheka wala hamuoni hatari iliyopo,mkiulizwa mmasema ni kuiga ustaarabu wa america[emoji16][emoji16].

Matokeo yake ni kuja kuuana kama 2017, N no body care.
 
Kuna kipindi katiba yetu ile ya zamani ilikua inaruhusu uwezo kama huu, kwamba unaweza ukamfuta mkuu wa taasisi fulani na kuteua mwingine papo hapo, hata hamna ulazima wa kujua jina la unayemteua, yaani hizi nchi mbili tuko tofauti sana.
Ndio maana mnazama kwa ufisadi, SGR ya diesel 10km per hour,yet you have 1,000 pages constitution
 
Kuna kipindi katiba yetu ile ya zamani ilikua inaruhusu uwezo kama huu, kwamba unaweza ukamfuta mkuu wa taasisi fulani na kuteua mwingine papo hapo, hata hamna ulazima wa kujua jina la unayemteua, yaani hizi nchi mbili tuko tofauti sana.

Usiongee kitu ilhali wako wanaojua ruto na historia take binafsi na nyadhifa ya uongozi mliyompa wakenya. Huyo jamaa ni mwizi balaaa. Ati hustler, from corn farming to politics then to becoming a billionaire 😂😂😂😂. Na msidhani hatujui Kenyata kashindwa kumfuta, instead akaonyesha he's in a conflict with his deputy to an extent he used to show his grudge live HD even on cameras. Too shameful, ati when greeting delegates Uhuru skips ruto in a line avoiding his handshake.
He's too corrupt n we both know it. Ila he's still in office, sisi angekuwa ametumbuliwa already. Chaajabu he's going to vie for presidency next year. Juu Kenya is too corrupt, anything is possible. Kama Rao aliibiwa Kura na kibaki tukiona, mbona ruto ashindwe kuingia? Anything is possible, I hope for the best
 
Kenyatta hawezi kumfuta maana wadhifa wake uko hapo kikatiba, sio mihemko ya mtu mmoja. Kwa Kenya sio rahisi usimame mbele ya watu na kusema nimemfuta huyu na kumuajiri yule, au ghafla unamuangulia mtu kwa sura na kumwambia kuanzia leo wewe nimekuteua wadhifa huu.
 
Back
Top Bottom