- Thread starter
- #21
Hivyo turidhike na hii hali sio...? TUMEPOTEA NDUGU ZANGU....Tunajua unachokusudia kusema lakini hakuna wakati wowote kulikuwa huduma nzuri huko maofisini.
sema ukweli upunguze dhahama hata kwa ndugu zako.....nchi moja huduma tofauti daah ..