Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Nipe timeline!Au nianzie JPM alipoingia madarakani?Hizo changamoto zilikuwa juu miaka michache tuu iliyopita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe timeline!Au nianzie JPM alipoingia madarakani?Hizo changamoto zilikuwa juu miaka michache tuu iliyopita
Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania yetuHamieni Malawi
Hayo wewe ndio unayaona. Hatahivyo, mkosoeni kiustaarabu Rais Magufuli kwa mapungufu yake na kumpongeza kwa mazuri yake. Ila kwasababu kupongeza sio lazima, basi mnaweza kunyamaza kuliko kupinga hata vitu vya kweli eti kwasababu tuu ni wapinzani.Ni kweli JPM ana mazuri yake. Lkn kama ilivyo kwa wanadamu mabaya hufunika mazuri. Ubabe, kiburi na lugha chafu ndiyo vinamharibia.
Kwa hoja zipi?Mkiichagua chadema hayo uliyo yaorodhesha yatatekelezwa kila pahala
Ni sawa. Anzia hapoNipe timeline!Au nianzie JPM alipoingia madarakani?
Si mnasema huku jf hakuna wapiga kura? Sasa hizi ngonjera unamletea nani huku?Wapendwa watanzania wenzangu, salaam.
Kuna matukio naona yametoweka kabisa au kupungua sana huku Kwetu:
1.Ujambazi wa silaha
2.Ajali za barabarani, hasa mabasi na bodaboda
3.Migogoro ya wakulima na wafugaji
4.Vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga
5.Mgao wa umeme
6.Dharau za watumishi wa umma kwa wananchi wa kawaida
7.Udhalilishaji, vipigo na usumbufu wa askari mgambo kwa wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama wamachinga
8.Rushwa
Ningependa kufahamu hali ikoje maeneo mengine ya nchi.
Kama mwendo ni huohuo basi nadhani itatupasa tusichulie poa, yaan "we shouldn't take things for granted" (Mheshimiwa Lissu atanisahihisha grammar hiyo) ni vyema kujiuliza nini kimetokea?
Mgosi nina kiu ya kufahamu.
Amani Msumari
Tanga
Mimi binafsi sijawahi kusema hivyo kwani ninatambua kuwa asilimia kubwa ya wanaJF ni watanzania. Watanzania ndio wapiga kura wenyeweSi mnasema huku jf hakuna wapiga kura? Sasa hizi ngonjera unamletea nani huku?
Unateseka sana we jamaa!
Huku kwetu naona:Wapendwa watanzania wenzangu, salaam.
Kuna matukio naona yametoweka kabisa au kupungua sana huku Kwetu:
1.Ujambazi wa silaha
2.Ajali za barabarani, hasa mabasi na bodaboda
3.Migogoro ya wakulima na wafugaji
4.Vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga
5.Mgao wa umeme
6.Dharau za watumishi wa umma kwa wananchi wa kawaida
7.Udhalilishaji, vipigo na usumbufu wa askari mgambo kwa wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama wamachinga
8.Rushwa
Ningependa kufahamu hali ikoje maeneo mengine ya nchi.
Kama mwendo ni huohuo basi nadhani itatupasa tusichulie poa, yaan "we shouldn't take things for granted" (Mheshimiwa Lissu atanisahihisha grammar hiyo) ni vyema kujiuliza nini kimetokea?
Mgosi nina kiu ya kufahamu.
Amani Msumari
Tanga
Hii ni amri,tekeleza na si kuhoji amri halaliKwa hoja zipi?
Kwetu yapo Kama nilivyoandikaHuku kwetu naona:
1. Umaskini umezidi
2. Watumishi wa serikali hawaongezewa mishahara kwa miaka mitano
3. Uhuru wa habari umekufa
4. Watu wanapotea katika mazingira ya kutatanisha
5. Watu wanauwawa
6. Ukabila unaongezeka
7. Demokrasia imekufa
Huko kwenu mambo yakoje?
Serikali inaweka mazingira wezeshi ya ajira. Wanasiasa uchwara wasiwadanganyeHaiwezekani kila kijana kuajiriwa na serikali
Umesahau kuweka namba za simu.Wapendwa watanzania wenzangu, salaam.