Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Unashinda unalala na kuangalia tv, hela zije nyumbani kwako?Huku kijijini kwetu mambo yako vilevile wala hatuoni tofauti!Kilichoongezeka ni kuwa umeme umefika,basi mengine naona yako vilevile na mengine yamepungua!
Yaliyopungua ni kuwa fedha haipatikani kwa sasa,kazi unayofanya ni tembo ila kitu unachopata ni sisimizi!Hali ya maisha imekuwa ngumu!