Ni kuwa Huyu bwana flat screen yake imekufa ni mwaka wa nane huu tangu ainunue? Sasa anakwenda kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili kwa jirani yake.
Akifika kule anapewa na balimi kabisa na jirani humuaga kuwa anatoka, asilolijua ni kuwa jirani anakwenda kwake kumlavufadavi my wife wake.
Alivyo muumgwana bwana huyu hatoki mpaka amsubiri mwenyeji wake arudi akilipa fadhila ya balimi.
Sehemu ya uanaume ni kupambana na hali yako.
acha banaNi kuwa Huyu bwana flat screen yake imekufa ni mwaka wa nane huu tangu ainunue. Sasa anakwenda kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili kwa jirani yake.
Akifika kule anapewa na balimi kabisa na jirani humuaga kuwa anatoka, asilolijua ni kuwa jirani anakwenda kwake kumlavufadavi my wife wake.
Alivyo muumgwana bwana huyu hatoki mpaka amsubiri mwenyeji wake arudi akilipa fadhila ya balimi.
Sehemu ya uanaume ni kupambana na hali yako.
Ni mwaka wa nane tangu TV inunuliwe, hali ya uchumi home imeshake sasa baba anamwacha mama ndani kama vile hahitaji kuwatch news yeye a aende kwa swaiba.Hapa mastermind sio mke wa huyo bwana mwenye flat screen sijui iliyonunuliwa miaka nane iliyopita au imekufa mwaka wa nane sasa. Kwani ukute mke hataki ifanyiwe matengenezo na kununua nyingine ili anaendelee na yule bwana. Na pia yawezekana mke ndio aliyeiua hiyo TV.
Lakini madam, hili jambo lina miaka nane sasa, au TV ina muda wa miaka nane au TV imeharibika kwa muda wa miaka nane sasa? Kama wanafanya 'wizi' huo kwa miaka nane sasa, yaani hata majirani hawaoni na kuzungumzia suala hilo? Huyo bwana nyumbani kwake hakuna watoto? Au huyo bwana anamshushia mke wa jamaa 'makinikia' kwenye nyumba ya wageni?
Maswali mengi ili kuangalia kama kuna devil kwenye details maanake ndio mahala pake.
Mkuu iyo inaitwa jaza ujazwehuwezi jua naye anamla mke wake au demu wake
Mkuu kumbe wakati mwingine huwa unatumia haya maneno??anakaaje kizembe huku mkewe anabanduliwa..?
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio mkuuMkuu kumbe wakati mwingine huwa unatumia haya maneno??