Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ni kuwa Huyu bwana flat screen yake imekufa ni mwaka wa nane huu tangu ainunue. Sasa anakwenda kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili kwa jirani yake.
Akifika kule anapewa na balimi kabisa na jirani humuaga kuwa anatoka, asilolijua ni kuwa jirani anakwenda kwake kumlavufadavi my wife wake.
Alivyo muumgwana bwana huyu hatoki mpaka amsubiri mwenyeji wake arudi akilipa fadhila ya balimi.
Sehemu ya uanaume ni kupambana na hali yako.