Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Bhasi hewa zitakuwa na tofauti mkuuTunavuta oxygen na kutoa carbon dioxide kama tu wa Masaki wanavyoishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhasi hewa zitakuwa na tofauti mkuuTunavuta oxygen na kutoa carbon dioxide kama tu wa Masaki wanavyoishi
Ni kuwa Huyu bwana flat screen yake imekufa ni mwaka wa nane huu tangu ainunue. Sasa anakwenda kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili kwa jirani yake.
Akifika kule anapewa na balimi kabisa na jirani humuaga kuwa anatoka, asilolijua ni kuwa jirani anakwenda kwake kumlavufadavi my wife wake.
Alivyo muumgwana bwana huyu hatoki mpaka amsubiri mwenyeji wake arudi akilipa fadhila ya balimi.
Sehemu ya uanaume ni kupambana na hali yako.
Yah mara nyingi huwa hatuangalii unaposababisha inconvenience katika maisha ya mtu, jamaa hapo angereflect back kwanini a nunuliwe beer kila siku?Sky, umenikimbusha mbali sana.
Kipindi hicho sijaoa, nipo ghetto. Nilikuwa nimepanga kwa ustaaz. Huyo ustaaz alikuwa ana wake wawili. Nilikuwa nimepanga nyumba ya bi. mdogo.
Ustaaz alikuwa ana ratiba ya kuja kwa bi. mdogo kila baada ya siku mbili au tatu. TV ya bi. mdogo ilikuja kuharibika wakawa wanakuja kwangu kuangalia.
Akina mama hawaji kuangalia taarifa ya habari, wanakuja kuangalia tamthilia. Kipindi hicho, bongo movie na drama za kinigeria ndiyo zinatamba. Bi. mdogo akawa anakuja na familia yake kuangalia TV. (Kumbuka hiyo ni one room)
Ningekuwa play boy, ningechezea mama na binti zake wote. Ila nilikuwa na moyo mgumu. Mwishoni, niliona tunakoelekea sipo.
Wakati mwingine, bi. mdogo alikuwa anakuja usiku kuangalia TV na khanga moja. Alikuwa akinogewa na tamthilia anaachia mapaja nje.
Mwisho wa siku nikaona niwape TV, wakatizame kwao, kwa sababu hata muda wangu wa kulala ulibadilika. Miezi mitatu baada ya kuwapa TV yangu, nikaona ustaaz hatanunua TV nyingine wakati wanatumia ya kwangu.
Siku moja nikapiga pombe zangu, nikaenda kuichukua.
Uswazi raha sana aisee.
Sky, kuna watu hapa duniani ni innocent, naturally. Wanaamini sana watu, na mara nyingi hawa doubt kitu, kwa rafiki yake.Yah mara nyingi huwa hatuangalii unaposababisha inconvenience katika maisha ya mtu, jamaa hapo angereflect back kwanini a nunuliwe beer kila siku?
Slim 5, Sky anajua kujichanganya na watu.
Humjui Sky Eclat ni mtunzi mzuri wa tamthilia! London siyo kwa mtogoleSlim 5, Sky anajua kujichanganya na watu.
Hiyo kwamtogole, ibadili kuwa masaki, msasani au mbezi beach.
Jamaa hana mke wanashirikiana mke mmojaPengine jamaa naye akiachwa huwa anamla mke wa jamaa, jamaa akiamini mshikaji anakunywa balimi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hapo jamaa katishaJamaa hana mke wanashirikiana mke mmoja
Your wife wangu tena!!Ni kuwa Huyu bwana flat screen yake imekufa ni mwaka wa nane huu tangu ainunue. Sasa anakwenda kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili kwa jirani yake.
Akifika kule anapewa na balimi kabisa na jirani humuaga kuwa anatoka, asilolijua ni kuwa jirani anakwenda kwake kumlavufadavi my wife wake.
Alivyo muumgwana bwana huyu hatoki mpaka amsubiri mwenyeji wake arudi akilipa fadhila ya balimi.
Sehemu ya uanaume ni kupambana na hali yako.
SanaUswazi raha sana aisee.
Umenifurahisha sana, mbona hivyo nimekuudhi nini?Nimekukosea nini mkuu?