Huku kwetu Kwamtogole unaweza kuangalia TV kwa jirani

Ni kuwa Huyu bwana flat screen yake imekufa ni mwaka wa nane huu tangu ainunue. Sasa anakwenda kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili kwa jirani yake.

Akifika kule anapewa na balimi kabisa na jirani humuaga kuwa anatoka, asilolijua ni kuwa jirani anakwenda kwake kumlavufadavi my wife wake.

Alivyo muumgwana bwana huyu hatoki mpaka amsubiri mwenyeji wake arudi akilipa fadhila ya balimi.

Sehemu ya uanaume ni kupambana na hali yako.

Sky, umenikimbusha mbali sana.

Kipindi hicho sijaoa, nipo ghetto. Nilikuwa nimepanga kwa ustaaz. Huyo ustaaz alikuwa ana wake wawili. Nilikuwa nimepanga nyumba ya bi. mdogo.

Ustaaz alikuwa ana ratiba ya kuja kwa bi. mdogo kila baada ya siku mbili au tatu. TV ya bi. mdogo ilikuja kuharibika wakawa wanakuja kwangu kuangalia.

Akina mama hawaji kuangalia taarifa ya habari, wanakuja kuangalia tamthilia. Kipindi hicho, bongo movie na drama za kinigeria ndiyo zinatamba. Bi. mdogo akawa anakuja na familia yake kuangalia TV. (Kumbuka hiyo ni one room)

Ningekuwa play boy, ningechezea mama na binti zake wote. Ila nilikuwa na moyo mgumu. Mwishoni, niliona tunakoelekea sipo.

Wakati mwingine, bi. mdogo alikuwa anakuja usiku kuangalia TV na khanga moja. Alikuwa akinogewa na tamthilia anaachia mapaja nje.

Mwisho wa siku nikaona niwape TV, wakatizame kwao, kwa sababu hata muda wangu wa kulala ulibadilika. Miezi mitatu baada ya kuwapa TV yangu, nikaona ustaaz hatanunua TV nyingine wakati wanatumia ya kwangu.

Siku moja nikapiga pombe zangu, nikaenda kuichukua.

Uswazi raha sana aisee.
 
Yah mara nyingi huwa hatuangalii unaposababisha inconvenience katika maisha ya mtu, jamaa hapo angereflect back kwanini a nunuliwe beer kila siku?
 
Kumbe lijamaa linaniachaga ndani huku linaenda kuenjoy mgegedo na wife....[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji24] [emoji24]
Istagaflilah

Delta Force
 
Yah mara nyingi huwa hatuangalii unaposababisha inconvenience katika maisha ya mtu, jamaa hapo angereflect back kwanini a nunuliwe beer kila siku?
Sky, kuna watu hapa duniani ni innocent, naturally. Wanaamini sana watu, na mara nyingi hawa doubt kitu, kwa rafiki yake.

Lakini akigundua alikuamini, halafu ukafanya sivyo, wapo radhi hata kukuua.

Lakini pia, umasikini wakati mwingi, humfanya mtu asiwe na maamuzi yake mwenyewe. Hasa unapopata kitu cha bure.
 
Ni kuwa Huyu bwana flat screen yake imekufa ni mwaka wa nane huu tangu ainunue. Sasa anakwenda kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili kwa jirani yake.

Akifika kule anapewa na balimi kabisa na jirani humuaga kuwa anatoka, asilolijua ni kuwa jirani anakwenda kwake kumlavufadavi my wife wake.

Alivyo muumgwana bwana huyu hatoki mpaka amsubiri mwenyeji wake arudi akilipa fadhila ya balimi.

Sehemu ya uanaume ni kupambana na hali yako.
Your wife wangu tena!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom