Ccccm kama kifo cha nyani...miti yotee inatereza safari hiiBBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.
Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.
NAMTUMIA POMPEO.
Sasa mbona mnachochea kuni mbichi, ai moshi mpaka hatuonani!
Rwakatare akufikiria anaishi kwa msaada Wa marekani akikatiwa misaada je na kupigwa ban je kwa kushabikia Zito kunyimwa haki ya kuishiBBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.
Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.
NAMTUMIA POMPEO.
Kule China nae kaapa kuiadhibu ccm kisa imeinyima tenda ya sgr,stirlger George,bandari ya bagamoyo nk,China ndie aliyekuwa amekamata tenda nyingi Sana za ujenzi.BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.
Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.
NAMTUMIA POMPEO.
Polish hawana uwezo huo,tupo mkao wa kula kusubiria clip za kina Ben,azory walipo.Bora tuchochee tu mpaka leo hakuna taarifa yeyote ya polisi kuwa ni wapi yupo ben saa nane, ni nani aliyehusika na kumpiga lissu risasi, ni wapi yupo azory gwanda....
Waache wachochee tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.
Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.
NAMTUMIA POMPEO.
Mnara wa Babel ushakuwa huu...unaagizwa nondo ujenzi uendelee wewe unapeleka koleo...dadadeki.Wana fisiem lazima wapoteane awamu hii ya tano
[emoji23][emoji23]BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.