Uchaguzi 2020 Huku Lissu, kule Zitto... Huku Mbowe, kule Pompeo katikati BBC maisha yanaenda haraka

Uchaguzi 2020 Huku Lissu, kule Zitto... Huku Mbowe, kule Pompeo katikati BBC maisha yanaenda haraka

Namimi leo namtumia pompeo!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unachelewa Watu wanatuma Mpaka WORLD BANK we Unasema POMPOE

Nimeona Daladala Nyuma imeandikwa POMPOE Litawatesa Sana Watu wa LUMUMBA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.

Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.

NAMTUMIA POMPEO.
Huku Bernard kamilius member anatroti, Tarehe 6 anenda kuwapasusua,

Labda wamwombe msamaha na ahadi kibao
Wamempa barua kwa sri yeye kaiweka public,
 
Huyu Bulembo kumuwekea USA barn wala haihitaji ni sawa na kumzuia kula bacon roll.
 
Yap na ndio atapiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo yatakayowapa ushindi chadema hapo novemba mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona uhusiano wowote kati ya CHADEMA na Pompeo!Kwani wao ndio walimtuma Makonda akatese na kuua watu?
CHADEMA inasingiziwa vitu vingi sana,yaani hata mkeo akiumwa utasema CHADEMA!
 
Bora tuchochee tu mpaka leo hakuna taarifa yeyote ya polisi kuwa ni wapi yupo ben saa nane, ni nani aliyehusika na kumpiga lissu risasi, ni wapi yupo azory gwanda....

Waache wachochee tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakianani 👋 wabongo bwana, naona mnalifukizia shimo ngoja tuone nini kitatoka!
 
BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.

Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.

NAMTUMIA POMPEO.
Hivi ndivyo inatakiwa sio kumtegemea Lissu tu.
 
Hahaha kweli watanzania wamevurugwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naamini kufikia tarehe 6/2/2020 mambo ya Zitto "kuuwawa" yatakuwa yameachwa, watu watakuwa busy na issue ya Bernadi Membe kuitwa kwenye vikao vya CCM
 
BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.

Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.

NAMTUMIA POMPEO.
Kweli wana Lumumba kimewanasa kidude

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutafanya assessment after three months from now kama yalikuwa makele ya chura ambayo hayamzuii tembo kunywa maji au la!
Uzoefu unaonyesha hata hili litapita bila lolote la maana. Time will tell
lini nyumbu akawa na kumbukumbu!
 
Back
Top Bottom