Uchaguzi 2020 Huku Lissu, kule Zitto... Huku Mbowe, kule Pompeo katikati BBC maisha yanaenda haraka

Uchaguzi 2020 Huku Lissu, kule Zitto... Huku Mbowe, kule Pompeo katikati BBC maisha yanaenda haraka

MAPOVU YANAWATOKA TU BUREE HIZI NI KELELE ZA CHURA HAZITUTISHI KUNYWA MAJI HIVI KWA MAENDELEO HAYA MTATUDANGANYA NINI KWA MAGU CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Nimeusikiliza huu mjadala, kiukweli baadhi ya wabunge wametoa kauli kali na hatarishi, ikiwemo kauli ya kifo kwa Mhe. Zitto Kabwe.

Naendelea kusisitiza kuhusu kauli huumba, kauli kama hii ilitolewa kumhusu Lissu na mara ikatekelezwa, sasa ni kumhusu Zitto, bahati nzuri Zitto ni mtu wa Kigoma, mwisho wa reli, na kule kwao, kaaga!, likimtokea la kutokea, kwa mujibu wa Zitto mwenyewe, hawa waliochangia adhuriwe, kule majumbani kwao, hakuta salia hata panya alive!.

P
 
Back
Top Bottom