My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Namimi leo namtumia pompeo!!!
CHADEMA.Pompeo kawa maarufu sana hapa bongo!
Huku Bernard kamilius member anatroti, Tarehe 6 anenda kuwapasusua,BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.
Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.
NAMTUMIA POMPEO.
Angalau mabeberu wanaweza kuongeza mishahara na kulipa malimbikizoUnajua serikali ingekuwa inatujali na sisi wananchi tungeungana nayo ila kwa sasa wacha tukae upande wa Mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap na ndio atapiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo yatakayowapa ushindi chadema hapo novemba mwaka huuPompeo kawa maarufu sana hapa bongo!
CHADEMA imefanya nini?CHADEMA.
Sijaona uhusiano wowote kati ya CHADEMA na Pompeo!Kwani wao ndio walimtuma Makonda akatese na kuua watu?Yap na ndio atapiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo yatakayowapa ushindi chadema hapo novemba mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakianani 👋 wabongo bwana, naona mnalifukizia shimo ngoja tuone nini kitatoka!Bora tuchochee tu mpaka leo hakuna taarifa yeyote ya polisi kuwa ni wapi yupo ben saa nane, ni nani aliyehusika na kumpiga lissu risasi, ni wapi yupo azory gwanda....
Waache wachochee tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndivyo inatakiwa sio kumtegemea Lissu tu.BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.
Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.
NAMTUMIA POMPEO.
Jipe moyoTutafanya assessment after three months from now kama yalikuwa makele ya chura ambayo hayamzuii tembo kunywa maji au la!
Uzoefu unaonyesha hata hili litapita bila lolote la maana. Time will tell
Mimi hata alishabaab nawaunga mkono sijui kwanini wmeisahau tzUnajua serikali ingekuwa inatujali na sisi wananchi tungeungana nayo ila kwa sasa wacha tukae upande wa Mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wana Lumumba kimewanasa kidudeBBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.
Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare.
NAMTUMIA POMPEO.
lini nyumbu akawa na kumbukumbu!Tutafanya assessment after three months from now kama yalikuwa makele ya chura ambayo hayamzuii tembo kunywa maji au la!
Uzoefu unaonyesha hata hili litapita bila lolote la maana. Time will tell
ITAFIKA MAHALI HATA MTU AKISHINDWA KUMPA MKEWE MIMBA ATASINGIZIA PIA CHADEMASijaona uhusiano wowote kati ya CHADEMA na Pompeo!Kwani wao ndio walimtuma Makonda akatese na kuua watu?
CHADEMA inasingiziwa vitu vingi sana,yaani hata mkeo akiumwa utasema CHADEMA!