Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Meli ya kivita kubwa ya Marekani pamoja na kikundi chake inarudi nyumbani baada ya miezi 8 ya kupambana na HOuth ndani ya bahari ya Red Sea.Nafasi yake itachukuliwa na meli nyengine ya USS Theodore Roosevet
Japo Houth wametangaza kuwa walifanikiwa kuijeruhi meli hiyo lakini wasemaji wa jeshi la Marekanini wamekanusha taarifa hizo.Pamoja na hivyo bado sababu ya kurudishwa nyumbani kwa meli hiyo hazijawekwa wazi .
Siku moja tu tangu meli ya Eiseenhower kuanza safari ya kurudi nyumbani wapiganaji hao wa Yemen wametangaza kuwa kwa kushirikiana na wenzao wa Iraq wameweza kuipiga bila kikwazo meli ya mizigo iliyopita eneo lao waliloweka marufuku kupita meli zenya uhusiano na Israel