GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim Boimanda Msemaji wa Bodi ya Ligi.
Chanzo: Sports Headquarters EFM muda si mrefu
Haya watani zangu Yanga SC mwambieni mganga wenu mkubwa aishie Kigamboni ila mmempangia nyumba Masaki mita chache tu kutoka kituo cha basi cha Bakhressa, abadili mkakati kupitia jezi yenu hii nyeusi, sawa?
Wiki iliyopita GENTAMYCINE kwa kujiamini kabisa ikiwa ndiyo kawaida yangu hasa nikiwa na taarifa ya uhakika, nilianzisha uzi hapa hapa JamiiForums kusema kuwa Yanga SC watavaa jezi zao nyeusi tu kwa mechi zake zote kwakuwa mganga wao huyo mkubwa kawaambia ndiyo zenye bahati na nyota ya ushindi kwao.
Ila kama kawaida wapumbavu hawakunielewa, ila kuanzia sasa watanielewa na hata kunipigia salute kudadadeki.
Na huyo mganga wao ameshawaambia Yanga SC kuwa wasithubutu kuvaa jezi zao za njano na kijani kwani watafungwa au kutoka sare na wavalie tu jezi zenye bahati ya ushindi na alizozifanyia ndumba (ushirikina) wa kukufuru.
Hivyo kama ni kuadhibiwa kwa kupigwa faini ya mamilioni basi wawe tayari kwa hilo na waweke bajeti maalum kwa adhabu hiyo.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!