Huku mganga wao wa kienyeji akiwataka kutumia tu jezi nyeusi, Bodi ya Ligi muda wowote kuipa Yanga SC adhabu kali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim Boimanda Msemaji wa Bodi ya Ligi.

Chanzo: Sports Headquarters EFM muda si mrefu

Haya watani zangu Yanga SC mwambieni mganga wenu mkubwa aishie Kigamboni ila mmempangia nyumba Masaki mita chache tu kutoka kituo cha basi cha Bakhressa, abadili mkakati kupitia jezi yenu hii nyeusi, sawa?

Wiki iliyopita GENTAMYCINE kwa kujiamini kabisa ikiwa ndiyo kawaida yangu hasa nikiwa na taarifa ya uhakika, nilianzisha uzi hapa hapa JamiiForums kusema kuwa Yanga SC watavaa jezi zao nyeusi tu kwa mechi zake zote kwakuwa mganga wao huyo mkubwa kawaambia ndiyo zenye bahati na nyota ya ushindi kwao.

Ila kama kawaida wapumbavu hawakunielewa, ila kuanzia sasa watanielewa na hata kunipigia salute kudadadeki.

Na huyo mganga wao ameshawaambia Yanga SC kuwa wasithubutu kuvaa jezi zao za njano na kijani kwani watafungwa au kutoka sare na wavalie tu jezi zenye bahati ya ushindi na alizozifanyia ndumba (ushirikina) wa kukufuru.

Hivyo kama ni kuadhibiwa kwa kupigwa faini ya mamilioni basi wawe tayari kwa hilo na waweke bajeti maalum kwa adhabu hiyo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
 
Genta leta kifungu tu basi. Ila kokote duniani unaweza vaa jersey yoyote popote ili mradi tu;
1. Ukiwa nyumbani na ukavaa home kit yako, mgeni kaja jersey zikafanana na zako yeye anatakiwa kubadili.
2. Kwa maana hiyo mgeni atabadili avae isiyofanana ya mwenyeji, anaweza vaa yake ya home, away or third kit.
3. Kama kweli kanuni hii ipo basi hao Tifuatifua na bodi ni mambwiga sana kama walivyowafungia akina Aziz Ki na Chama kwa swala la kisenge eti hawakupeana mikoni-shenzi kabisa.
 
Jezi hazichezi soka, Fanyeni usajili makini na mtafute uongozi imara ushindi utakuja tu.Muda si mrefu mtahama kwenye jezi mtaibuka na lingine.
Angalia kile kitivo Cha kuzalisha umeme pale Yanga(Power house) Kuna Aucho, Sure Boy, Bigilimana, Bangala, Faisal, Mauya. Wewe unahangaika na Koroboi Yako ya kuzalishia mwanga Ina Kanute na Mzamiru ambao hawafakii kiwango Cha Zawadi Mauya. Bado una lalamikia jezi?[emoji3][emoji3]
 
"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim Boimanda Msemaji wa Bodi ya Ligi.

Chanzo: Sports Headquarters EFM muda si mrefu

Haya watani zangu Yanga SC mwambieni mganga wenu mkubwa aishie Kigamboni ila mmempangia nyumba Masaki mita chache tu kutoka kituo cha basi cha Bakhressa, abadili mkakati kupitia jezi yenu hii nyeusi, sawa?

Wiki iliyopita GENTAMYCINE kwa kujiamini kabisa ikiwa ndiyo kawaida yangu hasa nikiwa na taarifa ya uhakika, nilianzisha uzi hapa hapa JamiiForums kusema kuwa Yanga SC watavaa jezi zao nyeusi tu kwa mechi zake zote kwakuwa mganga wao huyo mkubwa kawaambia ndiyo zenye bahati na nyota ya ushindi kwao.

Ila kama kawaida wapumbavu hawakunielewa, ila kuanzia sasa watanielewa na hata kunipigia salute kudadadeki.

Na huyo mganga wao ameshawaambia Yanga SC kuwa wasithubutu kuvaa jezi zao za njano na kijani kwani watafungwa au kutoka sare na wavalie tu jezi zenye bahati ya ushindi na alizozifanyia ndumba (ushirikina) wa kukufuru.

Hivyo kama ni kuadhibiwa kwa kupigwa faini ya mamilioni basi wawe tayari kwa hilo na waweke bajeti maalum kwa adhabu hiyo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
Makamasi matupu
 
Genta leta kifungu tu basi. Ila kokote duniani unaweza vaa jersey yoyote popote ili mradi tu;
1. Ukiwa nyumbani na ukavaa home kit yako, mgeni kaja jersey zikafanana na zako yeye anatakiwa kubadili.
2. Kwa maana hiyo mgeni atabadili avae isiyofanana ya mwenyeji, anaweza vaa yake ya home, away or third kit.
3. Kama kweli kanuni hii ipo basi hao Tifuatifua na bodi ni mambwiga sana kama walivyowafungia akina Aziz Ki na Chama kwa swala la kisenge eti hawakupeana mikoni-shenzi kabisa.
Kabla ya ligi kuanza kila timu inawasilisha rangi ya jezi itakazotumia nyumbani na ugenini
 
What happens kama mwenyeji kavaa yake ya home na ikafanana na ya away ya mgeni. Njoo taratibu hapo.
Kabla ya mechi nadhani kunakuwa na pre match ambapo kila timu inaonesha jezi atakayotumia katika mechi husika. Mwenyeji ndiye mwenye haki ya kuvaa jezi yake ya nyumbani ila mgeni kama jezi inafanana na atakayotumia mwenyeji basi yeye ndiye atakayetakiwa kubadili. Lakini yote yote ili la kusema Yanga wanavunja kanuni kwa kuvaa jezi ya aina moja ndio kwanza naisikia leo labda tuweke hiko kifungu cha sheria ambacho Yanga inakivunja

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Said it all...uko sawa kabisa, vingine kabobo tu.
 
"Yanga SC wanakiuka kanuni za ligi hivyo kwa kitendo chao cha kuvaa jezi moja hiyo hiyo (nyeusi) kwa michezo yote ni kinyume na kanuni hivyo muda wowote tunakaa kikao ili kuwaadhibu," Karim Boimanda Msemaji wa Bodi ya Ligi.

Chanzo: Sports Headquarters EFM muda si mrefu

Haya watani zangu Yanga SC mwambieni mganga wenu mkubwa aishie Kigamboni ila mmempangia nyumba Masaki mita chache tu kutoka kituo cha basi cha Bakhressa, abadili mkakati kupitia jezi yenu hii nyeusi, sawa?

Wiki iliyopita GENTAMYCINE kwa kujiamini kabisa ikiwa ndiyo kawaida yangu hasa nikiwa na taarifa ya uhakika, nilianzisha uzi hapa hapa JamiiForums kusema kuwa Yanga SC watavaa jezi zao nyeusi tu kwa mechi zake zote kwakuwa mganga wao huyo mkubwa kawaambia ndiyo zenye bahati na nyota ya ushindi kwao.

Ila kama kawaida wapumbavu hawakunielewa, ila kuanzia sasa watanielewa na hata kunipigia salute kudadadeki.

Na huyo mganga wao ameshawaambia Yanga SC kuwa wasithubutu kuvaa jezi zao za njano na kijani kwani watafungwa au kutoka sare na wavalie tu jezi zenye bahati ya ushindi na alizozifanyia ndumba (ushirikina) wa kukufuru.

Hivyo kama ni kuadhibiwa kwa kupigwa faini ya mamilioni basi wawe tayari kwa hilo na waweke bajeti maalum kwa adhabu hiyo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
Kwani mwaka jana yanga alipobeba ubingwa bila kufungwa alikuwa anatumia jezi gani labda tueleweshwe kidogo
 
Back
Top Bottom