Huku mtaani Rais Samia hakubaliki kivile, Upinzani wangekuwa na Mikakati 2025 wangeichukua nchi

Kwa sababu aliua watu tofauti na watawala wote waliomtangulia.. kwa kweli watamsema sana.
 
Kwa sababu wao ndio refa na ndio wachezaji, hivyo kwa kifupi ni kwamba hakuna uchaguzi Tanzania ni uhuni tu.
Hakika, na wewe kachukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA ndio utajua refa ni nani ?

Au kama hilo ni gumu mkosoe tu makengeza Mbowe
 
hata Manabii Uchwara kina Gwajiboy, anajua fika kuwa Watanzania wengi ni Hamnazo, ndio maana huamini Kwa urahisi Propaganda na mambo dhahania.
Mkuu taikon kumbe gwajboy ni nabii uchwara kama kina nabii Titto
 
SSH akiwashinda 2025 msitegemee Kama kuna ambaye mtamuweza.
Hawa mabwege wakilegea 2025 likaja Dubwana jingine kama lile la chato sijui watamlaumu nano,sasa hivi walitakiwa waanzishe maandamano ya kinafiki kumpigania gaidi mbowe halafu mwishoni wayageuze kuwa ni kudai katiba mpya

Huyu mama mvaa ushungi mbona mwepesi tu kama kamasi sijui wameleweshwa nini akina Hence,afadhari Zitto yeye keshachotewa maburungutu
 
Ukweli mama kaingizwa chaka ila eti upinzani na hii nchi baadae sana walipofeli kwenye ukawa hii ngoma ni back to back
 
Upinzani huu huu wa kusubiri kujibu sinema za Maccm ?
 
Umeangalia mbali sana. Ongezea pia wanapenda kupokea kuliko kutoa. So wapinzani wajitahidi kutoa ht kama kidogo na wajionyeshe.
Lakini watanzani wanaelimika grafu inapanda
 
Umeangalia mbali sana. Ongezea pia wanapenda kupokea kuliko kutoa. So wapinzani wajitahidi kutoa ht kama kidogo na wajionyeshe.
Lakini watanzani wanaelimika grafu inapanda


Umenena vyema kabisa.

Kuna wanachama wa Upinzani wanapigana kufa kupona lakini chama Kama chama hakieapi hata Mia.
 
Upinzani hii ni penalty mmepewa dakika ya 90 mkipaisha kazi kwenu
 
umeandika utumbo tu mama anapiga kazi ww kaa na akili zako hakuna upinzani unaoweza chukua madaraka maana bado awajakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…