Huku mtaani Rais Samia hakubaliki kivile, Upinzani wangekuwa na Mikakati 2025 wangeichukua nchi

Watanganyika wengi wanajua Nchi haina Raisi na wanajua aliyejuu ni Mama ni Boshen tu
 
Hakika, na wewe kachukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA ndio utajua refa ni nani ?

Au kama hilo ni gumu mkosoe tu makengeza Mbowe
Tanzania hakuna uchaguzi anayepinga hilo ni kwa bangi zake tu.
 
Hongera sana Robert Heriel ,huwa nikisoma maandishi yako nafarijika sana, naona kuwa bado tunao Watanzania wanao ona mambo kwa jicho tofauti!
 
Upinzani hauwezi kushindana na jeshi la polisi.

Ila wanaweza kushindana na ccm na wakashinda.
 
Si ndio vyombo vya dola hivyo. Na ndio mbeleko ya ccm iliyojificha ndani ya serekali? Wewe jamaa vp?
Hata hilo hulioni? Basi unahitaji miwani.
Ni kweli ccm imechokwa na watu lakini chama kipi kipewe nchi? Binafsi sioni mbadala mzuri. Sina imani na vyama vinavyoongozwa Kama Mali ya mtu binafsi
 
Kwakatiba ipi
 
Masikini ni watu wavivu na wajinga,hili kundi ni wanyonyaji zidi ya watu wenye akili na matajiri,kwa sababu masikini analipiwa kila kitu na tajiri, masikini hazalishi kitu wala kulipa kodi,lakini ni mtu wa kwanza kufurahia matatizo ya tajiri, na mara nyingi wana kamsemo kao ka tajiri afilisike ili tufanane,masikini hajawahi kuwa na mchango wowote nchini
 
CCM itashinda mapema maana Wapinzani bado wanafarakana badala ya kuungana ili waweze kuwarusha CCM madarakani 2025.
 
Ninachowapendea wapinzani nchi hii HAWAJAWAHI kushindwa UCHAGUZI hata siku moja🤣🤣
 
Natamani mabadoliko makubwa ya utawala yayokee tukiwa na katiba mpya, CCM wanachelewa kufanya mabadiliko katika katiba lakini nyakati zaja ambapo watatolewa.Watanzania watasema heri Zimwi likujualo, na ccm watalia kusaga meno.Huu ni wakati wa CCM kutengeneza mazingira yatakayo wapa nafuu, katiba hii wakitolewa Kwa nguvu ama ya kura au maandamano itawawaumiza sana.
 
Ukweli ni kuwa kama tungekuwa na katiba ya kisasa na kuwa na tume huru ya uchaguzi ,hakuna kiongozi wa ccm angeshinda uchaguzi nchi hii
 
mtaani nyama 11,000 kilo, gesi mtungi mdogo 25,000. huyo mama yenu mmekula hasara.
 
Umenena vyema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…