Na si hivyo tu, katika hii kampeni ya kugombea Urais, Polepole anapewa nafasi ya kuongea TBC kama nani? Kuna mambo mengine tunayapuuzia sisi kama wananchi lakini yana athari kubwa kwa taifa. Kesho na kesho kutwa unaweza kukuta na UVCCM nayo ikipewa nafasi TBC kuwatukana wapinzani wa CCM na sisi wananchi tukachukukia poa tu...hivi Watanzania tukoje?Kiufupi wanaita matumizi mabaya ya madaraka,
Mimi natarajia kesho polepole aitwe kwa mroto kwa kuendesha uchochezi
Una memory nzuri sana sio Chadema waliowafukuza TBC siku ya kwanza ya kampeni na kupewa muda wa dakika 10? Aibu ya mwaka kujisahaulisha.Huko ndiko CCM imetufikisha kama taifa. TBC chombo kikubwa cha UMMA kinatumika kuwatukana Watanzania wanaopinga utawala wa kibabe usiozingatia sheria wala Katiba. Badala yake TBC chombo kinachowafikia wananchi walio wengi kinatumika kusifia uvunjaji wa wazi wa kanuni na sheria tulizojiwekea na kuwatukana wapinzani...kwa hakika inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha.
Elewa sababu ya kufukuzwa, na ndo maana TBC walirudi wakaomba msamahaUna memory nzuri sana sio Chadema waliowafukuza TBC siku ya kwanza ya kampeni na kupewa muda wa dakika 10? Aibu ya mwaka kujisahaulisha.
Kwa hiyo TBC inajibu mapigo kwa kutoa nafasi kwa Polepole amtukane mgombea wa Urais Mh. Tundu Antiphas Lissu? TBC inayoendeshwa kwa kodi za wananchi wote bila kujali ni wa chama gani inatii maagizo ya mgombea wa CCM aliyeapa kutopeleka maendeleo kwa wananchi wanaochagua upinzani ingawa kodi wanalipa? Na wewe Ole unaona sawa tu.Una memory nzuri sana sio Chadema waliowafukuza TBC siku ya kwanza ya kampeni na kupewa muda wa dakika 10? Aibu ya mwaka kujisahaulisha.
Huo usemi una maana kwamba wasimamizi wa kweli wa maendeleo yao ni wale wa chama chake kwa sababu hao wengine hata kwenye bajeti ya mwaka huu wa pesa walikimbia Bungeni. Sasa sijui hata huu uchaguzi ungefanyikaje. Think ouside of the box.Kwa hiyo TBC inajibu mapigo kwa kutoa nafasi kwa Polepole amtukane mgombea wa Urais Mh. Tundu Antiphas Lissu? TBC inayoendeshwa kwa kodi za wananchi wote bila kujali ni wa chama gani inatii maagizo ya mgombea wa CCM aliyeapa kutopeleka maendeleo kwa wananchi wanaochagua upinzani ingawa kodi wanalipa? Na wewe Ole unaona sawa tu.
Ole, Ole, Ole ...je unajua kwa nini CCM kwa sasa inazidi kuchukiwa? Ni kwa sababu ya majibu ya kifedhuli na ya kipumbavu kama hili ulilolitoa hapa...hebu msikilize na huyu hapa chini;Huo usemi una maana kwamba wasimamizi wa kweli wa maendeleo yao ni wale wa chama chake kwa sababu hao wengine hata kwenye bajeti ya mwaka huu wa pesa walikimbia Bungeni. Sasa sijui hata huu uchaguzi ungefanyikaje. Think ouside of the box.
Kwani CCM iliwafukuza kwenye kampeni zao?. Mkarushe kwenye Tanzania daima, gazeti la mwenyekiti wenu mwenye chama chake. Ruzuku zote mnazobeba mnapeleka kwa saccos, mtakula wa chuya safari hii.Huko ndiko CCM imetufikisha kama taifa. TBC chombo kikubwa cha UMMA kinatumika kuwatukana Watanzania wanaopinga utawala wa kibabe usiozingatia sheria wala Katiba. Badala yake TBC chombo kinachowafikia wananchi walio wengi kinatumika kusifia uvunjaji wa wazi wa kanuni na sheria tulizojiwekea na kuwatukana wapinzani...kwa hakika inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha.
Kwani kuna ubaya gani kwenye maneno hayo? Vile vile Serikali ilitoa msaada baada ya hapo . Hizi propaganda hazitawasaidia kupata kura ndio uongo ambao tunasema hauna tija.Ole, Ole, Ole ...je unajua kwa nini CCM kwa sasa inazidi kuchukiwa? Ni kwa sababu ya majibu ya kifedhuli na ya kipumbavu kama hili ulilolitoa hapa...hebu msikilize na huyu hapa chini;
View attachment 1582888
Unawakejeli na kuwatukana wananchi wako waliokumbwa na matatizo ukiyaita natural disaster wakati huoo huo unawapa msaada raia wa taifa jingine kwa matatizo hayo hayo unayoyaita natural disaster, je upo?
Si mliwafukuza kwenye mkutano wenu Mbagala au mmesahau tena?Huko ndiko CCM imetufikisha kama taifa. TBC chombo kikubwa cha UMMA kinatumika kuwatukana Watanzania wanaopinga utawala wa kibabe usiozingatia sheria wala Katiba. Badala yake TBC chombo kinachowafikia wananchi walio wengi kinatumika kusifia uvunjaji wa wazi wa kanuni na sheria tulizojiwekea na kuwatukana wapinzani...kwa hakika inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha.
TBC ina weledi wa kutosha.Huko ndiko CCM imetufikisha kama taifa. TBC chombo kikubwa cha UMMA kinatumika kuwatukana Watanzania wanaopinga utawala wa kibabe usiozingatia sheria wala Katiba. Badala yake TBC chombo kinachowafikia wananchi walio wengi kinatumika kusifia uvunjaji wa wazi wa kanuni na sheria tulizojiwekea na kuwatukana wapinzani...kwa hakika inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha.
Serikali ilikula rambi rambi zilizotolewa kwa wahusika na hii si mara ya kwanza serikali hii kuwadhulumu raia wake haki zao. Serikali ya Magufuli inaishi kwa dhuluma na ndio maana safari hii wananchi wanakataa na kusema, hapana, imetosha.Kwani kuna ubaya gani kwenye maneno hayo? Vile vile Serikali ilitoa msaada baada ya hapo . Hizi propaganda hazitawasaidia kupata kura ndio uongo ambao tunasema hauna tija.
Ohoo, unajua unaongea na kijana au sio? Mimi naamini naweza kukupa somo la uhuru wa Tanganyika kabla na baada ya uhuru. Usimhusishe baba wa Taifa na ujinga unaoendelea kwa sasa ndani ya taifa letu. Misingi ya Umoja wetu kama Watanzania hivi sasa inapitia majaribu ya kutisha kwa sababu ya utawala ulioasi taratibu, kanuni na sheria kama tulivyojiwekea.Wewe kwa sababu hujui unapayuka tu. mchango wa Tanzania kusini mwa afrika unatambuliwa duniani kote sisi ndio kama baba.
Serikali ilikula rambi rambi zilizotolewa kwa wahusika na hii si mara ya kwanza serikali hii kuwadhulumu raia wake haki zao. Serikali ya Magufuli inaishi kwa dhuluma na ndio maana safari hii wananchi wanakataa na kusema, hapana, imetosha.
Ohoo, unajua unaongea na kijana au sio? Mimi naamini naweza kukupa somo la uhuru wa Tanganyika kabla na baada ya uhuru. Usimhusishe baba wa Taifa na ujinga unaoendelea kwa sasa ndani ya taifa letu. Misingi ya Umoja wetu kama Watanzania hivi sasa inapitia majaribu ya kutisha kwa sababu ya utawala ulioasi taratibu, kanuni na sheria kama tulivyojiwekea.