Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #261
Kwahiyo unataka kusema Rich anamzidi Jack kwa hela?Jack hana pesa ya kujenga ile nyumba pekeake ,jamaa kadandia post eti alikuwa anatuma pesa huko china
Jamaa anadai jack kasimamia kwa mda wa miaka miwili....Jack ajenge nyumba halafu amchukue mume akae nae sio rahisi ...
Mimi naona watakuwa wameshirikiana kujenga, siegemei kokote.
Na nitaingia mzigoni kusaka ukweli juu ya hili…