Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

Jack hana pesa ya kujenga ile nyumba pekeake ,jamaa kadandia post eti alikuwa anatuma pesa huko china

Jamaa anadai jack kasimamia kwa mda wa miaka miwili....Jack ajenge nyumba halafu amchukue mume akae nae sio rahisi ...
Kwahiyo unataka kusema Rich anamzidi Jack kwa hela?

Mimi naona watakuwa wameshirikiana kujenga, siegemei kokote.
Na nitaingia mzigoni kusaka ukweli juu ya hili…
 
Kwahiyo unataka kusema Rich anamzidi Jack kwa hela?

Mimi naona watakuwa wameshirikiana kujenga, siegemei kokote.
Na nitaingia mzigoni kusaka ukweli juu ya hili…
Hawawezi kushirikiana sio rahisi juzi tu hapa ,jack hana pesa ya kumshinda Rich hata kidogo ... Biashara za hao wanawake wengi no geresha angeshajenga kitambo .

Nyumba kapost rich na mkewe ,halafu mkewe kafuta ..Jamaa ndio katuma pesa pesa jack kasimamia...Jack alivyokuwa na bifu na wasafi angepost hata hatu...
 
Ngoja nilifanyie kazi, nitarejea.
 
Aisee hiyo nyumba ni kali.... kwa nje tu inaonekana sio chini ya milioni 400
 
Bila uthibitisho?
Angekupa elfu ishirini tu
Wewe unadhani mpaka naandika hapa sina uthibitisho? I got them all darling
Mpaka anakoishi huyo kaka napajua, sio kila jambo niwawekee mengine tunasitiriana.
 
Wewe unadhani mpaka naandika hapa sina uthibitisho? I got them all darling
Mpaka anakoishi huyo kaka napajua, sio kila jambo niwawekee mengine tunasitiriana.
kwani huyo bwanake wolper ni kabila gani? mkinga au
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…