Huku ni kukomoana, sijawahi kuona wala kusikia kama hili duniani, TRA mjiangalie

Acha kutia watu hasira chawa WA serikali kandamizi wewe.

Eti "nchi zingine..." Kwani kuna afadhari Gani ya Kodi hapa nchini kwenu?
 
Nchi yenye kodi 35% ni nchi gani niende nikachek tax laws zao, nifanye comparison na kwetu..twende kwa namba, Tanzania kodi nyingi mkuu
 
Mtu grocery analipishwa laki 4 kwa mwaka🤣 sasa sijui kitambaa cheupe watalipaje😂
 
WakO vizuri ila na wenyewe wana beiiii
Sasa huduma ya kukuondolea maumivu ya kichwa unataka iwe bei rahisi? Lipa laki 3 tukumalizie matatizo yako na Mamlaka unaona nyingi mwisho unaenda kupasuka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu na wewe umeingia kwenye ule mfumo wa wawekezaji Mobitel>Buzz>Tigo>Mixx by Yas.
 
Hakuna namna mkuu. Hawataona jina langu tena. Hawa wapuuzi ukinyooka ndio unakuwa mnyonge wao.
 
Hizo jamaa ni Mbuzi sana. Miaka ile inaingia madarakani ile Skonzi si nilijida kuanza biashara kiuaminifu. Niefungua na kila kitu hadi Principal nimelipa lakini kibali cja kianza rasmi biashara hakijatoka, mambo mengi nakuja kustuka mwaka tayari biashara sijaanza sababu Manispaa haijanipa Kibale kwa maelezo mengi ya kipumbavu, T.R.A nao wanakuja kudai kodi.

Nikawauliza kodi kwa biashara gani wakati wenzenu hawajatoa kibali? Site mmeenda mmekuta hakuna Project, nilitaraji mngenisaidia kupata kibali sababu nilishawahi kuja kuwaoba hu saada nikihofia waka utaatika ibai haijatoa na ninyi mtadai kodi na ndiyo imekuwa.

Wakajifanya kuleta ujuaji wa kuwa juu ya sheria, nikawaambia basi mimi ndiye sheria mwenyewe, kama mnaamini mpo juu yangu bssi jishikilieni vizuri.
 
Hakuna namna mkuu. Hawataona jina langu tena. Hawa wapuuzi ukinyooka ndio unakuwa mnyonge wao.
Nakubaliana na wewe, hawa inabidi muende nao hivyohivyo. Hawa ndiyo chanzo kikuu cha wananchi kutokuwa na hali ya kulipa kodi na kuishia kuwa na ujanja ujanja mwingi.
 
Hao ndio tiharahei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…