Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee.

Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida?

Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia moto.

Lakini mnakomaa na Boieng air Max.?
 
Wananchi wawe na elimu ya moto udhibitiwe mapema kabla haujapamba moto
 
Kwani we unafanya kazi zimamoto kwamba unataka magari ili uwe dereva wa gari hilo au?
 
Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee.

Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida?

Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia moto.

Lakini mnakomaa na Boieng air Max.?

..ununuzi wa ndege niliupinga tangu ulipokuwa kupigiwa debe wakati wa utawala wa JK.

..ujenzi wa mji wa mkuu Dodoma nao niliupinga. Ujenzi hauna faida yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Fedha zingepelekwa kwenye kilimo, mifugo, uvuvi, kungekuwa na impact kubwa ktk uchumi.
 
Kinachouma zaidi ni pale tunapoambiwa Shirika linajiendesha kwa hasara...
 
Acha yajazane pale uwanjani na wese lenyewe linazidi kupaa kama madege yenyewe. Sijui dar mwanza itagota kiasi toba.
 
Back
Top Bottom