Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
On the waynjoo hpa oysterbay police utupe ushauri
Kipaumbele?Vyote muhimu sana kwa taifa.
Nipo hapa jirani, nitakuona kwa wapi?njoo hpa oysterbay police utupe ushauri
Mimi ni kada wa ChademaKwani we unafanya kazi zimamoto kwamba unataka magari ili uwe dereva wa gari hilo au?
Achana na hiyo habari..magari yatakuja na wenzako watapata posho bila kazi na wewe utabaki mweupe afadhali ungeshauri kitu kingine zio zimamotoMimi ni kada wa Chadema
Pumbavu, shenziAchana na hiyo habari..magari yatakuja na wenzako watapata posho bila kazi na wewe utabaki mweupe afadhali ungeshauri kitu kingine zio zimamoto
Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee.
Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida?
Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia moto.
Lakini mnakomaa na Boieng air Max.?