Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Sasa umetoka balance of trade umeenda faida , Yani umejichanganya haujielewi... Balance of trade ni tofauti Kati ya unachouza na unachonunua kutoka hizo nchi.... Ulikua unajisifia vile mko na uhusiano mzuri na nchi za sadc, a good relation with your trade partners is when you have a good balance of trade Yani mnacho uza na mnacho nunua ni thamani Sawa..... Lakini ulichonionyesha hapo ulipokua unajisifu eti mko na positive balance of trade in your favour by $445m, ni kwamba Tanzania mnahitaji Sana Sadc kuliko vile SADC inawahitaji (ndo maana hua .metulia huko sadc), hamtaki Ku upset the status quo)... That's never a recipe for good relations ...Wewe Ngoja nikufundishe kidogo, katika biashara kitu muhumi ni faida, faida hupatikana Baada ya kutoa manunuzi toka katika mauzo. Hiyo ndio inaitwa balance of trade.
Kenya mliuzia Uganda $650M, na mlinunua $570M, faida mliyotengeneza ni $80. Tanzania faida tulizotengeneza SDC ni $445M, Hahahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
On the other hand, Kenya na Uganda lazima wahakikishe hatutawahi kosana manake tuko na "Mutual Assured Distruction" Kenya is the biggest importer of Ugandan goods and Uganda is the biggest importer of Kenyan goods.... We both need each other equally..
And speaking of profits , it depends on what you mean as profits... Cause balance of trade and profits are mutually exclusive... Sisi tukiuzia Uganda mafuta ya kupikia,sabuni,simiti..etc tunapata faida , wao wakituuzia mahindi, Chuma, chai etc wanapata faida .... Sio lazima mmoja auzie mwenzie vitu vingi zaidi ndo aseme amepata faida .... Everyone has his selling strengths... Sisi tukiuzia EU horticulture, chai etc na tununue mashini,magari, electronics kutoka huko ... Sote tunafaidishana Viwanda vya EU vinafaidika na wakulima wetu wanafaidika.... Kitu Kobaya ni pale ambapo nchi moja inafadi zaidi kuliko nchi nyengine, kama ule mfano uliotoa wa KENYA NA CHINA.... Ambao ni Sawa Sawa na kinachoendelea Kati ya Tz na SADC!