Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Leo nahisi ni nchi nzimaNa huku tayari
Hali ni tete kwa hali hii hiyo treni ya umeme sijui kama itafanya kaziTayari huku toka saa 12 asubuhi.
Hongereni ila mnaweza mkafikiwaNashukuru huku kwetu mwanza tuna wiki mbili sasa umeme haujakatika hadi nashangaa
Ni aibu sana, shida sio kukosa umeme. Shida ni haijulikani ni lini hii hali itakwisha.Hata huku kwetu hakuna umeme.
Mashine hazifanyi kazi so wale mafundi carpentry wategemeao umeme kuendesha mashine zao hawana kazi leo.
Ni aibu aibu aibu aibu kwa nchi kukosa umeme
Kuna mpango huo wa kuwapa waarabu?Tanesco wapewe waarabu umeme hautokatika.
Na Sio hii ya biashara za majenereta zitoke
Poleni kama huku tuᴴᵘᵏᵘ ᵗᵒᵏᵉᵃ ˢᵃᵃ 11
ʸᵃᵃⁿⁱ, ⁿᵃʷᵃᶻᵃ ᵗᵘ ᵐᵃʲⁱ.Kuna mpango huo wa kuwapa waarabu?
Poleni kama huku tu
Maji yamefanyaje? Au ndio umeme ukikatika na maji hayatokiʸᵃᵃⁿⁱ, ⁿᵃʷᵃᶻᵃ ᵗᵘ ᵐᵃʲⁱ.
Huu utakuwa uchumi wa kukatika 😂Uchumi wa kati au uchumi wa kukatika?!
Sasa sisi kosa letu ni nini?Na bado