Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Waka yaangaze maisha ya mama yao huko ikulu washenzi sana
Waitatue hii changamoto tunaoteseka n sisi wa hali ya chini.
Huku tayari umekatika kabla sijaamka huu msimu hata ving'amzi sio vya kulipia maana tv imekuwa pambo la nyumba
😂😂 unalipia cha nini wakati muda upo free na umeme hakuna.
 
Labda kuyaangamiza
Na ndicho wanachokifanya
Wakishiba maharage utasikia tutawauzia Umeme Zambia mara Uganda sijui nani aliwaroga badala ya kuzungumzia kutatua matatizo ya Wananchi wao wenyewe wanataka Sifa eti tutauza Umeme kwa bei ipi? Zambia nao watalipia kodi ya Ardhi kwenye umeme wenu? Mzee wa Tozo yupo kimya akiibuka atakuja na kiingereza kipya cha Tozo wapo busy huko kutohoa jina...
Hii nchi ina vituko sana yaani wauze umeme zambia wakati hapa ndani bado hali ni mbaya. Alieturoga kafa
 
Sahizi inauzwa 1000 na mtu kanunua soda anarudisha chupa Ina madowaa ya mshumaa, Sasa kutana na chinga mwenye taa za sola zina sura mbaya bei yake kama upo justfit
Ndio maisha kutembelea fursa makampuni ya solar yafyatue bidhaa soko kwa sasa lipo.
 
Back
Top Bottom