Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Sisi huku mtaani kwetu walikata jana kutoka saa 12 asubuh wakarudisha saa 1 jioni yaa tanesko toka nchii imeanza ndo shirika la hovyo sana basi wawe wanakata na kwa bi tozo mambo yawe sawa mbwa wale
 
Kwa maeneo niliyopo umeme haukuwahi kukatika licha ya hali ya ukosekanaji wa umeme kwa muda unaondelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.

Leo naamka umeme hakuna nikajua ni luku imeisha kumbe tayari washachukua umeme wao.
Hali ni tete kwa wanaotegemea umeme kwenye kuendesha biashara zao, sijui hii changamoto itadumu mpaka lini?
TANESCO TANESCO TANESCO
Kwa hiyo Mama alivyoona umeme ni wa shida akaamua kumtoa mwanae nje kumuepusha na lawama😅
 
Wakishiba maharage utasikia tutawauzia Umeme Zambia mara Uganda sijui nani aliwaroga badala ya kuzungumzia kutatua matatizo ya Wananchi wao wenyewe wanataka Sifa eti tutauza Umeme kwa bei ipi? Zambia nao watalipia kodi ya Ardhi kwenye umeme wenu? Mzee wa Tozo yupo kimya akiibuka atakuja na kiingereza kipya cha Tozo wapo busy huko kutohoa jina...
 
Unaweza his watu wapo kwenye tambiko kumbe source ni umeme
20230926_092721.jpg
 
Back
Top Bottom