Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Sisi huku mtaani kwetu walikata jana kutoka saa 12 asubuh wakarudisha saa 1 jioni yaa tanesko toka nchii imeanza ndo shirika la hovyo sana basi wawe wanakata na kwa bi tozo mambo yawe sawa mbwa wale
 
Kwa hiyo Mama alivyoona umeme ni wa shida akaamua kumtoa mwanae nje kumuepusha na lawamaπŸ˜…
 
Wakishiba maharage utasikia tutawauzia Umeme Zambia mara Uganda sijui nani aliwaroga badala ya kuzungumzia kutatua matatizo ya Wananchi wao wenyewe wanataka Sifa eti tutauza Umeme kwa bei ipi? Zambia nao watalipia kodi ya Ardhi kwenye umeme wenu? Mzee wa Tozo yupo kimya akiibuka atakuja na kiingereza kipya cha Tozo wapo busy huko kutohoa jina...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…