Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Iyo ina itwa karibu mkurugenzi 😀😀
 

Koteeeeee hata huku
 
Huku Wamekata Tangu saa 12 na nusu mpaka sasa dah Magufuliii wee baba umetuacha pagumu wewe baba wewe....Magufuli amkaa!
 
Huku Wamekata Tangu saa 12 na nusu mpaka sasa dah Magufuliii wee baba umetuacha pagumu wewe baba wewe....Magufuli amkaa!
Poleni sana pande hizo tuna miezi 6 ya kuendelea kuishi na hali hii.
 
Jamaa wameamua kututesa,sijui NWO wamewaamuru waanze mateso Tanzania sawasawa na malengo yao!Maana nyumbani kwangu unakatika kila baada ya dakika kama kumi hivi,unawaka unazima,kama kuna watoto wanaochezea main switch vilee.......!

Nadhani kuna mpango wa kuwafukarisha Watanzania, ili wawe watumwa wa Waarabu tena.
 
Pole sana.
Mama kasema bado miezi 6. Ukipiga mahesabu ni mwezi wa 4 mwakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…