Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Kwa maeneo niliyopo umeme haukuwahi kukatika licha ya hali ya ukosekanaji wa umeme kwa muda unaondelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.

Leo naamka umeme hakuna nikajua ni luku imeisha kumbe tayari washachukua umeme wao.
Hali ni tete kwa wanaotegemea umeme kwenye kuendesha biashara zao, sijui hii changamoto itadumu mpaka lini?

TANESCO TANESCO TANESCO
Iyo ina itwa karibu mkurugenzi 😀😀
 
Koteeeeee hata huku
 
Huku Wamekata Tangu saa 12 na nusu mpaka sasa dah Magufuliii wee baba umetuacha pagumu wewe baba wewe....Magufuli amkaa!
 
Huku Wamekata Tangu saa 12 na nusu mpaka sasa dah Magufuliii wee baba umetuacha pagumu wewe baba wewe....Magufuli amkaa!
Poleni sana pande hizo tuna miezi 6 ya kuendelea kuishi na hali hii.
 
Jamaa wameamua kututesa,sijui NWO wamewaamuru waanze mateso Tanzania sawasawa na malengo yao!Maana nyumbani kwangu unakatika kila baada ya dakika kama kumi hivi,unawaka unazima,kama kuna watoto wanaochezea main switch vilee.......!

Nadhani kuna mpango wa kuwafukarisha Watanzania, ili wawe watumwa wa Waarabu tena.
 
Jamaa wameamua kututesa,sijui mateso kwa wanadamu Tanzania yameshaanza!Maana nyumbani kwangu unakatika kila baada ya dakika kama kumi hivi,unawaka unazima,kama kuna watoto wanaochezea main switch vilee.......!

Nadhani kuna mpango wa kuwafukarisha Watanzania, ili wawe watumwa wa Waarabu tena.
Pole sana.
Mama kasema bado miezi 6. Ukipiga mahesabu ni mwezi wa 4 mwakani.
 
Back
Top Bottom