Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Umeme haukatwi, unapungua.
 
Serikali ndivyo ilivyosema, sasa wewe pinga ufungwe kama mchungaji wa Mbeya .
Hata kipindi cha Corona tuliambiwa ni changamoto ya kupumua na ukisema covid unapotea.
Sasa fuata isemalo serikali na si wewe utakavyo.
Si nchi ya demokrasia hii nafungwaje?
 
nawapongeza shirika la umeme chini ya jopo la watalamu kuendelea na juhudi za hali ya juu kumaliza tatizo la upungufu wa umeme nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…