Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Upuuzi tuZote hizo mda huu haziingizi chochote lakini TRA watahitaji chao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi tuZote hizo mda huu haziingizi chochote lakini TRA watahitaji chao
Umeme haukatwi, unapungua.Kwa maeneo niliyopo umeme haukuwahi kukatika licha ya hali ya ukosekanaji wa umeme kwa muda unaondelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.
Leo naamka umeme hakuna nikajua ni luku imeisha kumbe tayari washachukua umeme wao.
Hali ni tete kwa wanaotegemea umeme kwenye kuendesha biashara zao, sijui hii changamoto itadumu mpaka lini?
TANESCO TANESCO TANESCO
Treni walisema watainunulia jenereta ndogo KariakooHali ni tete kwa hali hii hiyo treni ya umeme sijui kama itafanya kazi
Sasa,kwake anatumia tu Gas. Zoezi la kuwasha mkaa kwenye pasi unadhani rahisi kihivyo? Mtu keshazoea umeme!Hongereni
😂😂 nunua pasi ya mkaa kwa dharura
Jamaa inaelekea unapenda bwabwa sana...jana tena wali wangu kidogo nimwage... Nikaenda kuivilishia kwa mama j uzuri mme wake hakuwepo sjui ni dereva wa uber... TANESCO mnanitaka nini?
[emoji23] na maharageJamaa inaelekea unapenda bwabwa sana
Ndio anapaswa awe na mkaaSasa,kwake anatumia tu Gas. Zoezi la kuwasha mkaa kwenye pasi unadhani rahisi kihivyo? Mtu keshazoea umeme!
Treni iendeshwe kwa jenereta dogo la kariakoo ? 😂Treni walisema watainunulia jenereta ndogo Kariakoo
Kivip mkuuUmeme haukatwi, unapungua.
Serikali ndivyo ilivyosema, sasa wewe pinga ufungwe kama mchungaji wa Mbeya .Kivip mkuu
Si nchi ya demokrasia hii nafungwaje?Serikali ndivyo ilivyosema, sasa wewe pinga ufungwe kama mchungaji wa Mbeya .
Hata kipindi cha Corona tuliambiwa ni changamoto ya kupumua na ukisema covid unapotea.
Sasa fuata isemalo serikali na si wewe utakavyo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] na maharage