Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

...jana tena wali wangu kidogo nimwage... Nikaenda kuivilishia kwa mama j uzuri mme wake hakuwepo sjui ni dereva wa uber... TANESCO mnanitaka nini?
 
sisi wa bara hatupatani na majini... Bora tuishi hivi hivi... Nyie bhana kaeni na majini yenu...
Hhhhhhhh

Umekaririshwa

Majini unayajua? Embu nipe Elimu na mm niyajue
 
Hhhhhhhh

Umekaririshwa

Majini unayajua? Embu nipe Elimu na mm niyajue
sijawahi kuyaona naskiaga tu zanzibar yapo ndio maana staki kuja... Lakini natamani sana kufika... Sina namna
 
sijawahi kuyaona naskiaga tu zanzibar yapo ndio maana staki kuja... Lakini natamani sana kufika... Sina namna
Basi usipende vya kuamini vya kuambiwa

Kama unataka kuja zenji karibu kijana nitakutembeza mwenyewe
 
Kwa maeneo niliyopo umeme haukuwahi kukatika licha ya hali ya ukosekanaji wa umeme kwa muda unaondelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.

Leo naamka umeme hakuna nikajua ni luku imeisha kumbe tayari washachukua umeme wao.
Hali ni tete kwa wanaotegemea umeme kwenye kuendesha biashara zao, sijui hii changamoto itadumu mpaka lini?

TANESCO TANESCO TANESCO
Mama Wanu kasema tuvumilie miezi sita🥶
 
Hlafu nyie mumekaririshwa aisee

Kama mpaka wageni wa nchi za nje wanauziwa Ardhi ila kimkataba sembuse ww mTz ukose Ardhi

Wapo wabara wengi tu wanaishi na wana majumba na mashamba
Sawa mkuu tutakaribia
 
Uyole Mbeya wamekata tangia asubuhi saa 12 mpaka mda huu saa moja usiku hawajarudisha
 
Back
Top Bottom