Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu na Bandari Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu tukiwa busy Kuiokoa Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu

Hakika Asali ya Shilingi Milioni 20, Asali ya Ndege Uarabuni, Asali ya Mapochopocho Magogoni Big House na Ndege Umbeyani imewafanya wasiwe na Uchungu wa kutaka kujua lolote lihusulo Bandari kwani huenda Wao wakawa si Watanzania.

Na jinsi wengi Wao waliokusanyika hapo Mkusanyikoni Grounds wanasifika kwa kuwa Vibaka leo Watu watalizwa sana Simu na Pochi kisha Wajuba wataenda Kuibukia Kigogo Darajani.
 
Kinachotakiwa sasa ni kujigawa, wengine waongelee maswala ya mpira na wengine tuwe bize na maswala ya bandari vingine tushangaa mkataba ushapitishwa
 
Wabunge washashinda mechi yao, acha na vibaka washinde mechi zao, hapa ndio tunataka tufike viongozi tuliwapa dhamana wakose amani kama wana mashamba mda huu ilitakiwa wanaichi mnaingia haribu sana kama wana nyumba mnaenda vunja vunja vioo nk ili wajue tumekwazika
 
mapambano mema na nchi yenu...kwani lazima wote tuwe watanzania?
sisi wengine tushachagua taifa kubwa Yanga,nyie watz uzweni tu si MAJINGA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…